Wanawake mbona mnatunyima raha tukitaka kusafisha macho?

Kuna tofauti kubwa kati ya kuona na kutazama, kuona ni nature ya binadamu tu kwamba macho yanafanya kazi lazima yaone. Kutazama ni choice hivo co lazima utazame kila kitu unachokiona. Kuwatazama wanawake wazuri ni utumwa wa ngono tubadilike tuwe tunawaona tu ila,tusiwatazame

Kutazama ni utumwa wa ngono.? Who said it.?
 
Ila mkuu kama umeongozana na mke inabidi uuangalie msambwanda kwa makini. Unaweza shtukia kelbu ya uso kama mkeo si mstaarabu. Kwa wale wake ambao ni wastaarabu, hapohapo hutoona reaction yake. Ila subiri ufike nyumbani, Unaweza lala njaa siku hiyo. Heheheeheee
hahaaaah.....hapo ndo nitakapo hamia kwa michepuko......
 
Back
Top Bottom