Wanawake Live TV SHOW: Mwanamke wa Kisasa yupoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake Live TV SHOW: Mwanamke wa Kisasa yupoje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by WanawakeLive, Nov 14, 2011.

 1. W

  WanawakeLive Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  *Tunafuraha kujiunga na jukwaa hili kwa mara ya kwanza, lkn kikazi zaidi.

  *Tungependa kufahamu mwanamke wa kisasa yukoje? Maoni yako ni muhimu sana kwetu. Asante
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,681
  Trophy Points: 280
  karibu sana mpiganaji,I will be back!
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh!

  Mwanamke wa kisasa si ni kama mimi full kujiamini, mtanashati, mtaftaji, asiyekua tegemezi, mwenye kujua na kuijali familia, mvumilivu na anayependa maendeleo!!
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mwanamke wa kizamani kwani yukoje?
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Nilitaka kuuliza the same question.Atuambie mwanamke wa kizamani yukoje in what sense,then tumuangalie huyu wa kisasa
   
 6. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  wa kizamani hakuwa hivyo?
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  mwanamke wa kizamani hatongozi wanaume,
  havai nusu uchi,
  haachi manyonyo nje,
  anajiamini, mvumilivu ila hapendi mitala,
  nk
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mhhhhhhh. nimechungulia tu hizi anga za wenyewe, hawakawii kukuuliza jinsia yako.
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  karibu sana.Nalog off
   
 10. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ahsante mamdogo!! Ubarikiwe!!like it!! Kitufe cha like sikioni jamani kiko wapi vile!!
   
 11. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Sifa za mwanamke wa zamani:

  1. Bikra sio used
  2. Mwaminifu ile mbaya
  3. Mnyenyekevu kwa mumeo
  4. Mchapa kazi
  5. Mtunzaji mzuri wa familia

  Ongezeni mengine
   
 12. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Mwanamke wa kisasa anaanzia karne ya 17,18,19 20 Au 21.

  NAOMBA DEFINITION ILI NITOE SIFA
   
 13. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Fais buku umeolewa wewe?
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  Mwanamke wa kizamani:

  Halali, hali chakula, hadi mumewe arudi kutoka matembezini. Mume akirudi saa saba za usiku anampashia maji ya kuoga na kuanza kumpikia, japo chakula kikijakuiva jamaa keshalala fofofo.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie wa kati ya zaman na kisasa.
  So no comment!
   
 16. W

  WanawakeLive Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yupi bora kati ya wa zamani na sasa?
   
Loading...