Wanawake kwanini wanapopata new mpenzi husahau kabisa wa nyuma

Dogo vale

Member
Jul 18, 2013
17
1
mimi ni kijana mwenye umri 20 years nilikua na kamanzi kamoja kimahusiano
lakini siku ya siku kalibadilika na kunifanyi madharau c ndo tukatibuana kumbe kalikua
kamepata new boyfriend muda kama wa wiki mbili c kamejirudisha kenyewe sasa nifanye nini
na kandai katanipenda ki ukweli
 
Una jikeep busy na mapenzi kabla ya umri wako, unapotea dogo! Please try to concetrate kwenye masomo. Ushauri wa bure.
 
mtoto wangu wa kuzaa wewe; umeishaanza ngono kwenye umri mdogo? Pole sana na sijui kama wazazi wako wanajua kwamba umeishaharibikiwa.
 
dogo jitunze basi haya mambo yapo tu education is sexy
 
mtoto wangu wa kuzaa wewe; umeishaanza ngono kwenye umri mdogo? Pole sana na sijui kama wazazi wako wanajua kwamba umeishaharibikiwa.

ebu fikiria sisi wazazi tuwashauri nini watoto wetu hawa wa kuwazaa kabisa..aah jamani!
 
We dogo unauliza majibu. Kwani hata wewe ukinunua nguo mpya utakumbuka kuvaa kuukuu?
 
Dogo tatizo kisu chako ni butu. Wenzako wenye visu vikali ndio wanaokutafunia nyama yako.
 
Dogo vale... maliza shule kwanza mbona wapo wengi wamama,wadada, wabibi na vikongwe pia...
 
Last edited by a moderator:
hachana kabisa na kitu ninaitwa mapenzi mdogo wangu kwa umri wako huo, mfumo wa maisha yako yatayumba sana kuliko hulivyo tegemea.nafasi ya mapenzi kwa umri wako haipo kwa sasa subili nafasi itakuja na utayaona na kujioneya mwenyewe na maamuzi hutayapata mwenyewe.husideal na shetani maapema sana hutamsahau mungu wako.! tho umeshaonja hasali husionje tena utataka kuondoka na mzinga wote wa nyuki nathani hunajuwa baraha lake then...! get ur education 1st huyo achana naye kwa sasa humuwezi anakutumia na kukupotezea malengo yako ya mafanyikiyo.zipo na zimejaa telee utazitafuna na hautazimaliza bali zitakuuwa na utajuta maisha.
 
Dogo piga shule kwanza, au tafuta pesa kwanza bahari ya mapenzi kubwa sana kwa umri wako wewe ni km punje ya mchanga. Utachapiwa na kumegewa ukaishia kujipoza kwa fiterawa maana vidonda vya tumbo vitakumaliza kwa uchungu.
 
Back
Top Bottom