Wanawake, kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

Yaan mkuu nliumbwa na sura flani

Sasa nkawa na date na mdada mmoja kazini baada ya muda wakaja wadada wapya wengine kipindi tofauti tofauti

wakaonesha ishara za kutaka kuingia ktk mahusiano sasa mm nkawachukulia easy tu kama rafiki wakafahamu nna mahusiano

Basi wakaanza chuki leo hii ni maadui wakubwa kazini lkn kisa kilianza tu katika mapenzi
 
Mkuu ukiona mwanamke anaanza kuleta hayo mambo kupenda kwako kama humtaki punguza mazoea yani ukiwa nae kuwa siriazi kabla hajafika mbali.ila ukimwacha mpaka anakuambia anakutaka hapo sasa ukikataa visa lazima vianze tena usiombee awe na cheo kukuzidi
 
Ifike mahala wanaume tuelewe sio kila mwanamke ni wakuwa nae kwenye mahusiano...kama huna mipango nae ni heri tu ukafanya mambo mengine...
Ni wanaume wachache wanaelewa ili swala na wanaume wa aina hata wanawake wanawaheshimu kwa sababu wanakuwa smart kuchagua wanawake hii inaonesha upo na hadhi na unajiheshimu ,sio kila mwanamke atapata nafasi et kisa una K,sijui mzuri,umeumbika.yani kiufupi wapo na misimamo yao huwezi kuta wanaendeshwa hovyo na wanawake pia hata Mungu mwenyewe anapenda kuwatumia kwa sababu ya kuwa imara kwa kile anachosimamia
 
Yaani nikiona mada inahusu mahusiano ya mapenzi, akili yangu huwa inakua muted tyuuh. Khaaaaaah
 
nilimwambia niwe nakgng tu baas uridhike...hataki anataka mahusiano...Yaani baasi tu ilimradi.
haya mambo ndo yanasababishaga masingle mother's wawe wengi...kinachichangia kukataa mimba moja wapo ni kutompenda mwanamke....ukiwa unampenda mwanamke ni ngumu kukataa mimba
Sasa kuepusha yote aya...ni heri tuwaambie ukwel tu
 
na ukiwaambia ndo kama hivyo mkuu..
Muda mwengine wanajitakia wenyewe halafu wanakuja kutupa lawama bure. Kuwa wanaume wote ni mbwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom