Wanawake kwanini huwa mnakataa mara ya kwanza lakini baadaye mnakubali??

I have never ever rejected na hawa kina Hawa, sijui kwa sababu naamini love at first sight ama lah sifahamu!
 
Wanawake ni kama tomaso mara ya kwanza anakua aamini but ukirudi mara ya pili anaanza kuamini kua ni kweli huyu mtu amempenda
 
I have never ever rejected na hawa kina Hawa, sijui kwa sababu naamini love at first sight ama lah sifahamu!
You mean you have never ever been rejected ama?
If so.....try someone of your own size/level utaonja how rejection feels like.

BTW: Hongera mkuu, kama ingekuwa kichuo chuo ungekula straight As na GPA ya 5.0. Akina sisi tumechezea sup nyingi sanaa yan hadi unakuja ku'graduate unachomoka na ka'gentleman ka 2.0

Asalaam Alaykhum!!
 
Just try alternative methods mkuu..hawa viumbe huwa kuna kitu wanaangalia unapomwendea kwa mara ya kwanza!
 
Back
Top Bottom