Wanawake kwanini hamuolewi?

manizzle

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2015
Messages
3,448
Points
2,000

manizzle

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2015
3,448 2,000
Hivi kwanini wanawake siku hizi hawaolewi?

Unakuta dada mzuri tu lakini haolewi anabaki kuwa gumegume la mtaa.
Mkuu waoaji ni wewe, mimi na wengineo. Nasi tujiulize kwa nini hatuoi? BTW, Wanawake ni wengi kuliko wanaume, ndo maana kuna wengine wanashauriwa kuoa zaidi ya mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,343,668
Members 515,144
Posts 32,793,083
Top