Wanawake kwakweli wanachanganya

Wakunyuti

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
380
13
This is the fact...

If you kiss her, you are not a gentleman

If you don't, you are not a man

If you praise her, she thinks you are lying

If you don't, you are good for nothing

If you agree to all her likes, you are a wimp

If you don't, you do not understand

If you visit her often, she thinks it is boring

If you don't, she accuses you of double-crossing

If you are well dressed, she says you are a playboy

If you don't, you are a dull boy

If you are jealous, she says it's bad

If you don't, she thinks you do not love her

If you attempt a romance, she says you didn't respect her

If you don't, she thinks you do not like her

If you are a minute late, she complains it's hard to wait

If she is late, she says that's a girl's way

If you visit another man, you're not putting in "quality time"

If she is visited by another woman, "oh it's natural, we are girls"

If you kiss her once in a while, she professes you are cold

If you kiss her often, she yells that you are taking advantage

If you fail to help her in crossing the street, you lack ethics

If you do, she thinks it's just one of men's tactics for seduction

If you stare at another woman, she accuses you of flirting

If she is stared by other men, she says that they are just admiring

If you talk, she wants you to listen

If you listen, she wants you to talk

That's A GIRL!

Sasa sijui tufanyeje?
 
Mods if possible..naomba mbadilishe Title ya hii thread..muweke Wanawake badala ya ''Mademu'' Please...huu ni ushauri tu nilioupta kwa wadau.
 
Mods if possible..naomba mbadilishe Title ya hii thread..muweke Wanawake badala ya ''Mademu'' Please...huu ni ushauri tu nilioupta kwa wadau.

Asante kwa hilo, hivi demu inastand for Madam au?
 
Asante kwa hilo, hivi demu inastand for Madam au?

demu imetokana na neno dam maanake ni bwawa....kwa hiyo sijui watohoaji walihusisha na nini hapo.Kisha wakaja wakamaanisha ni binti au msichana ndo anaitwa demu.
 
demu imetokana na neno dam maanake ni bwawa....kwa hiyo sijui watohoaji walihusisha na nini hapo.Kisha wakaja wakamaanisha ni binti au msichana ndo anaitwa demu.

are you serious??!! hivi kwa nini mnapenda kutudhalilisha namna hii? tulikosea kuwazaa???
 
are you serious??!! hivi kwa nini mnapenda kutudhalilisha namna hii? tulikosea kuwazaa???

haya ni maneno ya mitaani ambayo yanaficha uhalisia wa kitu au jambo.
Kama nataka kwenda nyumba ya pili au natak kwenda uwani mtu ataongea badala ya kusema naenda chooni.
 
are you serious??!! hivi kwa nini mnapenda kutudhalilisha namna hii? tulikosea kuwazaa???

Pole sana mama... demu naona linmetokana na lugha ya ki dutch ( netherlandse) wao wanasema ''Dame'' means a lady....sema kibongo bongo ndio ivyo sasa watu wakaidaka wakairemba kidogo
 
Mods if possible..naomba mbadilishe Title ya hii thread..muweke Wanawake badala ya ''Mademu'' Please...huu ni ushauri tu nilioupta kwa wadau.

Nahitaji kuelimishwa kuhusu matumizi ya neno MADEMU. Is it offensive to women, if so why is that?

.
 
demu imetokana na neno dam maanake ni bwawa....kwa hiyo sijui watohoaji walihusisha na nini hapo.Kisha wakaja wakamaanisha ni binti au msichana ndo anaitwa demu.

Fidel80 nafikiri umepotosha kidogo kuhusu maana ya neno "mademu"... Mama alikuwa right alipokisia kuwa hilo neno lina maana ya madam (French word). Sasa sisi tunalisema hilo neno la kifaransa kibongo bongo. Matokeo yake ni "mademu"

Kwa maoni yangu sidhani kama hili neno/jina linakusudi ya kudhalilisha wanawake kwa njia yoyote ile.

I mean, kuna maneno/majina mangapi ya kigeni tumeyageuza na kuyatamka kibongo bongo?
 
dame ni ngómbe jike ambaye bado hajazaa, ila sio ndama, kesha acha kunyonya na ana uwezo wa kupandwa na madume(bulls).
 
chacha, hiyo dame yako ni kwa lugha gani?
inatamkwaje?

Hivi wanawake kwanini hawapendi kuitwa hivyo..kwani ni tusi?? ilifaa hili jina liingizwe kwenye kamusi maana ni famous sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom