Wanawake kuweni makini

Mtoa mada hata wanawake na wake za watu wana mipango na nia njema kwa michepuko yao.

Swala la ndoa kufanywa kama hisani kwa mwanamke ndio linaloumiza watu wengi.

Ila usipende sana kuwa msuluhishi wa mapenzi ya watu, utakuja kupata aibu Mkuu.
 
Akishamuacha mkewe mwambie jamaa achonge mgomba aoe




As long as anaishi/ataishi na binadamu kuna uwezekano atasalitiwa tu

Tena inawezekana hata yeye anauza mechi ila kwa mkewe anajifahya ana kinyaa
Nyie mnaotetea huu ujinga inawezekana ndo mnakula wake za watu..Isitoshe mwanaume kutoka nje na mwanamke kutoka nje kuko tofauti kabisa.Hivi mfano wewe usikie dada ako jamaa anapiga au usikie ndugu yako wa kiume anapiga kwa dada fulani, ipi itakusumbua.Au usikie mama yako njemba mnamtusua huko nje na usikie baba yako anapiga nje..ipi itakuwa case nzito hapo??Mwanaume anaweza kuoa mke zaidi ya mmoja..lkn.siifikiri kama umeishawi ona kwa macho yako mwanamke mmoja anaolewa na wanaume zaidi ya mmoja kwa kipindi kimoja.
Waislam wanaruhusu hata mwanaume kuoa wake wanne lkn hawajaruhusu mwanamke mmoja kuolewa na wake wanne....

Acheni kula wake za watu, dawa yenu ni CHUMA tu
 
mwanaume kaumbiwa wanawake wangapi ndipo atosheke!!!acheni kutafuta kichaka bana.

mimi ni mwanaume,nachepuka,lengo ni kwamba siku yakinifika niwe tayari kuyachukua.

mnakula mpaka watoto wa shule,mnaacha wake zenu ndani wanajiuguza mapenzi,wakichomoka tu mnawasindikiza na kadi nyekundu,sio fare.
Unajaribu kuzuia nini sijakuelewa
 
Nilikuwa sifahamu kwann wanaume tunapofumania au kupata elements zozote za usaliti basi hatutakiwi kirudi nyuma.

Jibu ni rahisi. Wanawake ni jamii ya binadamu ambayo inapenda kuishi kwa kukadiria au kupimia ila sio watu wa standard za uhalisia.

Unaweza kuwa mwanaume wa kiwango cha mume Bora na baba safi wa familia ila yeye akata kukukadiria ziada ya hapo yaani akataka zaidi ya kile unachofanya na usipompa ndipo atatoka nje kutafuta na ukisitisha kumpa kile anachopata kwako bado ataanza kilalamika kuwa anaonewa.

Tazama katika hicho kisa hapo, mwanamke ametoka nje ya ndoa so it means hakuwa anakubali kuridhika na anachopewa na mumewe akataka ziada.

Ukimsamehe kwenye swala kama hili atakukadilia uwezo wako wa kufanya maamuzi lakini pia kuwa hauna maisha nje yake. Hivyo basi kumsamehe ni kama kumwambia nimekubali kuwa mpumpavu kwako na kudharaulika nifanye utakavyo. Hapo Guarantee ni kuwa atarudia tena upuuzi wake kama kawa kwa namna nyingine sababu ameshakukadilia kuwa wewe kwake ni dhaifu na hauna pa kwenda.


Anyways, katika mahusiano, mwanaume anajukumu moja tu la kumpenda mkewe na hilo linaonekana kupitia kumjali, kumhudumia, kumtunza na kumlinda. Mwanamke ana jukumu moja kwa mume wake la kumheshimu na kutii maelekezo na miongozo yake hii atafanya kwa kumsikiliza mwanaume, kumshauri , kumtunzia Siri na aibu, kumhudumia mahitaji kama ya chakula, usafi na watoto, kutunza mali za mumewe ikiwepo fedha etc.ila muhimu kabisa ni kutomuweka mbele mwanaume mwingine yoyote nje ya mumewe , awe baba mkwe, mjomba, rafiki, kaka, binamu, hata mchungaji.

Sasa hapo ukienda kinyume na hizo principles imekula kwako ndio haya yanatokea.

Mwanamke akikucheat usirudiane nae..... Utakuja kujuta baadae
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom