Wanawake kuweni makini na wanaume wa namna hii

Kizazi hiki tuna tabu sana kwa aina ya sample ya wanawake tunaotarajia kuoa.
Unaweza kumtwanga mtu risasi 100 eti
 
Kwahiyo hao watu wenye mama tu wakikataliwa na wanawake utaolewa wewe au?
Kwa hali ilivyo huku mtaani,kila mwanaume wa aina yoyote na wa sifa zozote,ziwe mbaya au nzuri,wanaweza wakaoa muda wowote.Rejea moto wa kisulisuli ulivyowakusanya wadada pale mlima wa moto.
 
Back
Top Bottom