mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 352
- 163
Kwa kweli kama wewe sio mjanja kwenye haya mambo ya kuangalia tu simu au hata computer bila msaada wa mtu pole maana kuna wanaume wanatumia hii chance kuchati na michepuko kwa raha zao.
Kuna mume wa mtu mmoja hivi anataka niwe mchepuko wake. Ila mimi ni muoga sana. Sasa yeye mda wote ni kuchati hata usiku wa manane, kimwambia mke wako ataona unachofanya kigezo ni kwamba hata amwachie simu hapo hawezi tumia ni hizi smart phone.
Nilijisikia huruma mda wote anataka niwe nae close.