Wanawake kutoka Rwanda na Kenya ni wastaarabu na wako na heshima kwa wanaume.

Wakuu
Nitaeleza kwa ufupi sana
Wanawake asilimia kubwa kutoka nchini Rwanda na Kenya ni wastaarabu sana na wana adabu na heshima sana kwa wanaume.
Nashauri vijana mtupie macho huko mnaweza kupata muafaka mzuri na kupata wenza wa kudumu nao bila kelele yoyote ile.
Mmh,Rwanda hawajui kupika na ni wavivu mno,Kenya ni wajuaji sana,Burundi ni washamba mno,Uganda ni viburi sana,Malawi ni wabaya mno,Msumbiji ni wezi,Zambia malimbukeni sana.
Bado Tanzania ni bora tu kwa kupata mke bora,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya na Rwanda usifananishe na vitu vya ajabu ajabu wanawake wa mataifa hayo wanaakili na wanajituma sana
 
Wakuu
Nitaeleza kwa ufupi sana
Wanawake asilimia kubwa kutoka nchini Rwanda na Kenya ni wastaarabu sana na wana adabu na heshima sana kwa wanaume.
Nashauri vijana mtupie macho huko mnaweza kupata muafaka mzuri na kupata wenza wa kudumu nao bila kelele yoyote ile.
Kwa uzoefu wangu wanawake wa Tanzania ni wastaarabu sana, unaweza ukamfokea au ukamtia kibao akalia na mkaendelea na mapenzi kama kawaida, na ndo maana wanaume wanamichepuko 4hadi 8, 10 nk. Wanawake wa Kinyarwanda usije ukajidanganya mnaweza ishi mkazaa watoto kumbe siyo wako na ukajikuta sikumoja wanatoroka n mama yao kurudi kwao. Wanawake wa Kenya wanajifanya wanajua sana haki zao hautawaweza kama wewe unapenda mfumo dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ya manzi wengi wa kikenya wanakunywa sana changaa na kutafuna mirungi halafu hawa wanyarwanda wanawapa wanaume wao limbwata
ndio maana unona inabidi tukomae na hawa ambao wewe unaona hawana heshima
 
Back
Top Bottom