Wanawake kutoka Rwanda na Kenya ni wastaarabu na wako na heshima kwa wanaume.

Mavazi na muonekano wa mwanamke kwa wajuzi ,unaweza kumtambua kama ana malezi ya heshima au ni kiruka njia.
Hii ni ngumu sana kwa kizazi hiki.

Wanawake 'kizazi kipya' wa sasa ni weledi sana tofauti na unavyofikilia.
 
Wakuu
Nitaeleza kwa ufupi sana
Wanawake asilimia kubwa kutoka nchini Rwanda na Kenya ni wastaarabu sana na wana adabu na heshima sana kwa wanaume.
Nashauri vijana mtupie macho huko mnaweza kupata muafaka mzuri na kupata wenza wa kudumu nao bila kelele yoyote ile.
Research yako sjui umeifanya kwa watu wangapi hasa kwa wakenya....kwanza wakenya wanawake huwa sio watu wa kutetemekea ndoa wala kutamani ndoa
 
Wakuu
Nitaeleza kwa ufupi sana
Wanawake asilimia kubwa kutoka nchini Rwanda na Kenya ni wastaarabu sana na wana adabu na heshima sana kwa wanaume.
Nashauri vijana mtupie macho huko mnaweza kupata muafaka mzuri na kupata wenza wa kudumu nao bila kelele yoyote ile.
Kwa Kenya nakataa,labda Rwanda ndio sina uzoefu nao,lakini wakenya big no

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waganda kabila la Baganda wanajua kutunza mme bwana, usijaribu utazamia jumla!
 
Wakuu
Nitaeleza kwa ufupi sana
Wanawake asilimia kubwa kutoka nchini Rwanda na Kenya ni wastaarabu sana na wana adabu na heshima sana kwa wanaume.
Nashauri vijana mtupie macho huko mnaweza kupata muafaka mzuri na kupata wenza wa kudumu nao bila kelele yoyote ile.
ili wa bongo waolewe na nani sasa, naona hii nalo ni jipu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom