Wanawake kutoka Kenya watelekezwa mitaani na mabosi wao baada ya mlipuko nchini Lebanon

Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,868
19,258
Kutokana na mkipuko nchini Lebanon, raia wengi wa Kikenya ambao wengi wao ni watumishi hohehahe kwenye mataifa mengi duniani hasa uarabuni na hivyo kutuma remittances nyingi kwao, watelekezwa na maboss wao kutokana na mlipuko Lebanon

Kenyan women and children abandoned on the street outside their consulate in Beirut. No work, nowhere to live, no help to go home from their diplomats.

EfKAyZxX0AAGSMz.jpg


 
Inauma sana. Poleni sana kina dada. Hakuna kitu kinachoniuma nikiwa nje ya Afrika kama kumuona Muafrika mwenzangu akipata shida au kunyanyasika. Sijui ni udhaifu wangu wa hisia. Sijajua bado.
 
Wakirudi Kenya watahitajika kuwa na sponsor kutoka ulaya ili waweze kuoga
 
Acheni kina dada zetu wapambane, binadamu akila kwa jasho lake sio jambo la aibu, ni heshima kubwa, hata kwa Maulana. Iwe ni housegirl, garden boy au wale wakukoroga zege. Aibu ni kwa wanaowabagua si kwa wachapakazi kama wao. Laana kubwa ni pale ambapo mtu na akili zake anazamia kwenye nchi za watu kuomba omba mitaani na kuchafua miji.
 
Back
Top Bottom