Wanawake kusema ukweli nyie ni wachoyo na vitu vyenu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake kusema ukweli nyie ni wachoyo na vitu vyenu!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Dec 21, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kweli mtu anakuona na anakupenda anakwambia nimekupenda bibie lakini nyie mnakataa kwa nini??wakati kitu unachoombwa ni mapenzi na unouwezo wakusema njoo ujinome lakini mhmm!!utanizungusha au kunijibu kimkato wakati mali unazo!!Huo ni uchoyo umewakaa sivingine!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  eeh we woooooote waliokuomba umewapa....?
  mwenyekt jaman mbona ivi?
  kila mtu akikuomba ukampa basi utakuwa hauna tofaut na wanyama....UTASH NEHI
  mnapeana kwa kikomo kwa kuzingatia kanuni na maadili husika siyo kuchojoana tu jaman...
  kwan kuna MTU ANAKUNYIMA/ANAKUZUNGUSHA?
  Pole mwaya!!!!
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hapa naomba twende kimahesabu kidogo(idadi ya wanaomtongoza-idadi ya anaowakataa=mwenzi wake)lakini vilevile kama(idadi ya wanaomtongoza=idadi ya anaowakubali)hapo mtamwita malaya.Swali afanyeje huyu kiumbe ili aishi kwa amani?
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Wanawake wangekuwa wachoyo anayesema wachoyo asingekuwepo.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mimi ipo hata wakuiulizia simpati ila ninaye naye muwaza,Katibu!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo kila anaeomba apewe??
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wakiwa si wachoyo, mnawaita MAMA HURUMA sasa lipi la kheir!
   
 8. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ndiyo....!
   
 9. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si ndo hapo sasa,,,,,,,,
   
 10. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila kweli wanawake wanapenda vya dezo, ila ukimwomba dudu utaona ananza unajua, sikufikiria hivyo, nilifikiri ww rafiki tu na wakati mnatoka nae out kama mara 2 hivi, ila akikupa one day siku nyingine gate lipo wazi bana
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nilham rashid!!unanifurahishaga sana niwasaa sina tu!
   
 12. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nakufurahisha na nini kakakiiza???????? nambie nizidishe kasi(speed)
   
 13. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Hivyohivuo ndofuraha yangu unaweza kuzidisha ukanibore au nikachanganyikiwa zaidi!!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hamna kitu kama hicho!!!
  Na kwa jinsi wanavyojua kuomba...kweli hawatutakii mema!!!
   
 15. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Na wakati mwingine mnafika mpaka kwenye anga za ku do, lakini demu bado atajishauwa kuwa hataki.
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  uwiii hakuna msichana anayetaka kuwa soko kuu...
  ila baadhi wanafanya hayo ajili shida.....na wengine ni life choice...

  mmhhh lakini ka mtu umeolewa mmhhh 24/7 availability ...
  but have to go both ways....
   
 17. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi ushaniuzi kwanini ukabadilisha hand write yangu???eeh si nakuuliza kwanini,,,,,,,, we si ungejibu tu yakwako yangu kwanini ukaiharibu kakakiiza eeh???????? na kama hutaki kunambia nnachokufurahish its okey,,, utaona ntakavyouchuna sasa hivi mpaka na we furaha itakwisha,,,,,wallah umeniuzi ukweli vile,,,,
   
 18. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  anga za ku do ndio zipi hizo!
   
 19. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hata wa kiume nao wachoyo hamuwasemiiiiiiiiiiiiiiiiiii:teeth: mmh lkn wao ni noma hata kama imechacha wanakula tuuu:teeth:
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  njoo ntakupa!
  ongea na katibu wako kwanza!!!!!
   
Loading...