Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Shida sio kutoa hela, kiuhalisia wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda.

Shida ni kuwa wanawake wengi mnaoomba hela mnakua na NIA MBAYA na sisi wanaume mnaotuomba hela, na sisi wanaume huku rohoni we can sense it, yani mwanaume kuna saa ukiombwa hela na mdada unajua hapa natapeliwa, naigiziwa, na mdada hana hisia kabisa na mm, yuko na mm sababu ya hela tu.

Wanaume hatutaki kupendewa hela ndo maana tunalalamika tukiombwa hela na wadada Shunie Niwaheri Evelyn Salt Sky Eclat
Ukiombwa hela ni nia mbaya, we ukiomba utamu sio nia mbaya? Acha hizo buana mambo ni kupeana...
 
Aiseee Kuna manz sikuwahig kuonana nae for the first time ilikuwa chatng tu za simu Kama miez sita hv Zaid ya kuona picha zake Mara ya kwanza kaomba 50k nikamtumia ikawa destur nikawa namtumia mazaga kila kitu.

Siku niliyokutana nae alikuwa Yuko good saana beautiful flan tukapata dinner moja matata Sana nikaenda mchekecha maini na Figo swafi.

Siku nisio itarajia yule manz aksema leo nakufanyia surprise nikawait Aiseeee nashangaaa muamala 1.5m imeingia bimdada alikuwa serious na mm Ila mm mambo yalikuwa meng
Daah hongera kwa yaliyo kutokea,si wengine tunaishia kuyaota.
 
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.

Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda unafahamiana nae baada ya siku tatu unaorodheshewa matatizo gesi imeisha, simu imepasuka kioo, mama amekimbizwa hospital, luku imekata sasa hivi, nimepungukiwa kodi yani yote hayo unakuta anapewa boyfriend au mwanaume ambaye hata bado hajatamka nakupenda.

Kwa kweli ni janga wanaume wanaogopa wanawake, hawajui yupi ni wa kuoa vijana wanashindwa kupata wife materials kisa mizinga. Wamebaki kutoa hela ili wapate huduma ya ngono na wakitosheka wanakimbia mizinga wanahamishia kwa wanawake wengine kutafuta utamu mwisho wa siku kina dada wanalalamika siku hizi hakuna waoaji

Haujatafiti vizuri hadi mwisho mkuu.

'Vizinga' saazingine huwa ni fimbo ya kufukuzia wakware.

Unapigwa orodha ndefu kuliko hiyo uliyoorodhesha hapo, tena baada ya kutongozana tu, kuna kurudi kweli?

Hapo nani anakuwa kafaidika, nadhani ni suluhu yaani bila bila.

Ndiyo hivyo, siyo kila kizinga ni shida ya kweli, yaweza kuwa ni njia mujarabu ya kufukuzana na kukataana 'kikubwa'.

Hayo mengine ya kuombana pesa kwa kumaanisha ndiyo kama ulivyosema.
 
ha ha ha
giphy.gif
Message ya ombi la kodi hio 😅😅😅
 
Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa

Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza

Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
Kula pesa bana, shida iko wapi?
 
Hii hali imezidi hasa kwa jiji la Dar huwezi enjoy mapenzi kama mikoani maana wadada kila wakilala wakiamka wanawaza hela tu ukimsimamisha tu anakuuliza unafanya kazi gani ili apime uwezo wako na kuanza kukupiga virungu, hata kama maisha ni magumu mmezidi jamani, yaani mwanaume kama una mambo mengi yanayohitaji pesa nyingi bora kuwakwepa tu hawa watu mpaka utavyokuwa sawa maana watakutesa sana.
 
Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa

Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza

Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
Sasa hivyo ndo vizuri, anakusaidia tyuuh, akija kueleza shida yake una cancel. Case kwisha
 
Hahahaaa hili ni janga kubwa kipindi hiki nadhan na wadada nao wamejua labda wanaume tunataka ngono sanaaa sikuiz so nao wanaona wasijetoa utamu afu wakaachwa hivihiv so wanaona nao wafaidike kidogo mapemzi yamekuwa kama mchezo wa kuviziana hivi.
Na ndo ukweli wenyewe.
 
Wanaume wa siku izi mnapenda kitonga, toka zamani mwanamke ni wa kupewa! Msipo ombwa hamtoi ndo kujidai kusifia nina mwanamke wa tofauti unangoja umuite hata nauli humpi, mara mmekula uanze kumkopa eti umalizie bill, kodi hujalipa lakini unataka umlale mwanamke nyumbani kwake alikopanga, pesa hujampa Ila utataka umtembelee akupikie, kipindi iko nadate na mpenzi jamani ela unapewa adi unanunua kiwanja bila kuomba omba wanaume walikuwa wanayajua majukumu yao vizuri........ila wanaume wengi mnaolalamika kuombwa ela nahisi pesa zenu za mawazo sana! Kuna wanaume bado wanajua kutoa pesa
Mwanaume mwenye pesa hana maneno wala lawama, yeye ana deal na miamala tyuuh,
 
Wala hata msiwalalamikie wanawake tu! Siku hizi mapenzi hakuna!

Wanaume wanataka ngono tu kupiga na kusepa halafu baadaye waanze kuwacheka wanawake waliopita nao kuwa ni malaya kwa kuwa wao wanaume hawana cha kupoteza! Mwisho wa siku wanawake wanaona angalau wawapotezee na ninyi pesa zenu!

Kuna mmoja niliwahi muuliza kama wanawake wakiacha kuomba pesa ndiyo wanaume watawaoa! Akanijibu eti inategemea (kwahiyo nikajua kwamba wanawake kuomba pesa siyo sababu kubwa na pekee ya wanaume kutokuoa)!
mommy bhana, ukauliza kabisa yaan.
 
Back
Top Bottom