Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa

Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza

Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
NAWEWE KATAA RUZUKU KAMA MKITI WA CHAMA CHETU
 
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.

Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda unafahamiana nae baada ya siku tatu unaorodheshewa matatizo gesi imeisha, simu imepasuka kioo, mama amekimbizwa hospital, luku imekata sasa hivi, nimepungukiwa kodi yani yote hayo unakuta anapewa boyfriend au mwanaume ambaye hata bado hajatamka nakupenda.

Kwa kweli ni janga wanaume wanaogopa wanawake, hawajui yupi ni wa kuoa vijana wanashindwa kupata wife materials kisa mizinga. Wamebaki kutoa hela ili wapate huduma ya ngono na wakitosheka wanakimbia mizinga wanahamishia kwa wanawake wengine kutafuta utamu mwisho wa siku kina dada wanalalamika siku hizi hakuna waoaji

Pelekeni muswada bungeni, itungwe sheria kwamba wanaume hawatakiwi kuombwa pesa bali wanatakiwa kutoa pesa bila kuombwa
 
Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa

Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza

Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
Kwa mwanamke smart atamwambia "why umenitumia hii pesa"
Mwisho atairudisha.
Usile usichovujia jasho wala huna mpango huo.
Hapo ndipo heshima yako iliko.
 
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.




Umeongea ukweli mtupu bora ninunue tu namaliza haja zangu hamna kugandana ila inatakiwa tu kuwa makini
 
Kwa mwanamke smart atamwambia "why umenitumia hii pesa"
Mwisho atairudisha.
Usile usichovujia jasho wala huna mpango huo.
Hapo ndipo heshima yako iliko.
Yeah! Too bad mie sio smart....akituma sirudishi
 
Habari wakuu!

Haka katabia cha wadada kugeuka kuwa ombaomba indrect or direct kanakera sana.
Unaweza kuwa na moyo wa dhati kabisa kumpenda mwanamke na ukawa tayari kwa lolote kadri ya uwezo wako lakini unakutana na tabia chafu mpaka unaghairi au unaamua umle kisha usepe.

Unaamua tu umgeuze chombo cha starehe.
Amekupa namba mnaanza kusalimiana tu ukiingiza hisia zako yeye anaingiza matatizo yake kanakwamba pasipo wewe angekufa au angefungwa.

Hebu kama wanaume sasa tuweke tamaa pembeni, tukikutana na hawa ombaomba wanaotegemea sehemu zao za siri tuwajibu ipasavyo tusiwaonee aibu. Kwa kufanya hivyo wapo watakaobadilika na kuanza kuwaza kujitegemea.
Mfano wa majibu murua:

1.Baby naomba 20 ya kusuka, mwambie Mimi mwanamke akifumua nywele ndio namkubali sana. Fumua zichane.
2.honey ninashida na elfu 50,
Mwambie mbona una tabia kama za watu wanaojiuza halafu subiria majibu.
3.Nina shida ya elfu 30
Mwambie nami nina shida ya elfu 50, bora wewe shida yako elfu 30 tu.
4.Mpenzi kodi imeisha
Muulize kwahiyo umenikubalia kwasababu kodi imeisha ?
Inamaana kodi unaipata kwa njia hiyo tu?
Kuna demu nimekaa naye sit moja Pugu hadi Chanika. Sikumsemesha njiani. Ile tunashuka kwenye daladala nikamwomba namba, dk chache kajiingiza king.

Mara anaomba hela ya kusuka. Nikamwambia kwakuwa Mimi ndio mpenzi wako I love the way you are. Usisuke umekaa poa sana.
Akanikatia umeme.
 
Dawa ya omba omba kama umemuelewa sana,mpe hela anayoomba na wew omba mbususu fasta,piga sepa au endelea kupiga lakin baada ya kupiga mpe hela pale unapojisikia.

Hii tabia yao imenifanya niishie kuwaangalia tu,wengine wanaleta mitego ila najifanya kama siioni,maana najua tu ukishaanza mawasiliano nae vizinga vya ajabu vinaanza
 
Back
Top Bottom