Wanawake jitokezeni muwasifie wanaume zenu

impelle

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
832
1,100
Salaaam wana jamvi,
Kwa muda siku chache hivi zilizopita,nimeshuhudia nyuzi mbalimbali ambazo wana wa kike wamezitumia kuonyesha hisia zao hasi au kuuliza maswali yanayowakera kutoka kwa mabwana zao.
Hii hali si nzuri kwa sababu nategemea na naamini kwamba tupo wanaume tuliodhihirisha jinsia zetu kuwafanyia mambo makubwa wanawake ,mchumba au mchepuko.
Mfano enzi hizo bado msanto niliwahi kumsomesha binti kwa hela boom akabahatika kuwa Mwl then akaolewa na jamaa mmoja.
Nilitamani aje anisifie hapa kwa uthubutu wangu, bahati mbaya hayupo humu.
Kwa uzi huu naombeni wadada / wana wa kike jitokezeni mtiririke kuwasifia wanaume zenu kwa yale makubwa unayoyakumbuka katika nyanga yoyote ile mfano kiuchumi, kiroho, mapenzi na mengine kwa kuzingatia siku ya leo ni muhimu kwetu.
Karibuni sana.
 
Wanawake kumbe huwa mnatuigizia thana eeeh
Thipati picha wakati wa kuchana misamba mnavyojikwatuaga kutusifia
Lkn hapa just mmeamua kukaa kimya.
 
f156564a476b8a3ee5375c6db09b35c4.jpg
 
aaaah mwanaume huyu hakiyalahi anajua kujali sijapata kuona,mfanowe hakuna.heshima sasa mpaka naona hakuna kama mimi.anajua kunisamehe mpaka kuna saa naona haya mwenyewe natamani niombe adhabu nipate kupata amani
mahaba yake si ya sayari hii yakhee,mpaka natamani kumshare wajue utam wake na ninavyofaidi mie.

nimenogewa mie natamani nimalizie na mapungufu yake
 
hongera
 
Mapungufu usiyaseme leo
Ni mwendo wa kulewa sifa na kupewa haki yetu
 
Back
Top Bottom