impelle
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 832
- 1,100
Salaaam wana jamvi,
Kwa muda siku chache hivi zilizopita,nimeshuhudia nyuzi mbalimbali ambazo wana wa kike wamezitumia kuonyesha hisia zao hasi au kuuliza maswali yanayowakera kutoka kwa mabwana zao.
Hii hali si nzuri kwa sababu nategemea na naamini kwamba tupo wanaume tuliodhihirisha jinsia zetu kuwafanyia mambo makubwa wanawake ,mchumba au mchepuko.
Mfano enzi hizo bado msanto niliwahi kumsomesha binti kwa hela boom akabahatika kuwa Mwl then akaolewa na jamaa mmoja.
Nilitamani aje anisifie hapa kwa uthubutu wangu, bahati mbaya hayupo humu.
Kwa uzi huu naombeni wadada / wana wa kike jitokezeni mtiririke kuwasifia wanaume zenu kwa yale makubwa unayoyakumbuka katika nyanga yoyote ile mfano kiuchumi, kiroho, mapenzi na mengine kwa kuzingatia siku ya leo ni muhimu kwetu.
Karibuni sana.