Wanawake jihadharini Mwanaume hajaribiwi

Hivi mnawapata wapi hao wapenzi?Me nimeshindwa et kumpata mpenzi kama wenzangu ili tukienda sawa nioe.
 
bro, una nikumbusha mbali, sana.

mimi mwenyewe single maza alijilengesha, nika mwambia nina mke, akasema haina shida ata heshimu.

Two weeks akaanza mara, mwanae anaumwa, mara umeme kwake kamalizia wiring ila hela hana na fundi ana msumbua kweli, mara ada ya chuo kapungukiwa elf.60 n.k n.k

NIKA MWAMBIA SIUNAJUA NAMI NINA MKE, NA MKE WANGU NAMIMI TUNA MAHITAJI?
akasema Eee najua umeoa,

nika mwambia sasa nahusikaje kwa umeme wa nyumbani kwako?
au ada au n.k n.k??

Akasema kwa hiyo ULIVYO KUWA UNA NI BINUABINUA NA KUNI KUNJA KUNJA ULIDHANI OFAAA....!

nikasema hatukuwa na makubaliano ya pesa wala kuoana,

AISEE NILIOGA MATUSI ACHA TUU,

nikampotezea, nowdays ananiona napita na mke wangu ana drive kanibeba kwenye kigari chetu, kazini na misele miseleee

ANASEMA ETI, SIKU HIZI UNA RINGAAAA
NAMI NAMPOTEZEA, SIKU WAHI KUJIBU MATUSI YAKE HATA MOJA,

wanawake TUISHI NAO KWA AKILI TU.
Ulichofanya ni "silent treatment", inauumiza sana.
 
K

Umeonae
 
Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki.

Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa wadada ili wajifunze Jambo pengine.

Wadada msipende kuwajaribu wanaume wakati vyumba vya mioyo yenu haviwezi kusitahimili majibu yanayo weza kutoka upande wa wanaume.

Mimi nilikuwa na mpenzi ila tofauti Yetu ilikuwa level za shule yeye alipoanza mwaka wa Kwanza chuo Mimi tayari nilikuwa namalizia mwaka wa mwisho Richa kuwa dada huyu tunafahamiana kabla ya shule yaani Nyumbani tunaishi tumtaa mmoja.

Nilipomaliza chuo nilimuacha shule ila gafla alianza kubadilika ,ingawa g mm sikujali nikawa najifanya sioni ili tuendelee kuwasiliana, bt baadae alinitafuta akaniambia nisiwe namuita My maana tayari yupo ktk mahusiano mm niliumia ila sikuonesha kama nimeumia? Nikasema vizur Kama umempata mfike salama.

Mda ukaenda alipofika mwaka wa pili akanitafuta akaniambia kanimix Sana na mm sikuchelewa nikasema mmeachana na mmeo? Akasema wanaume hawaeleweki nikamjibu mvumilie mtafika akawa kimya baadae nikawaza kwa kuwa nilikuwa nampenda nikamwambia bac poa tukae pamoja Tena Kama zamani akasema poa na akanza kunisifia nilivyotofauti na wanaume wengine na mambo mengi tu?.

Tumeenda wee siku ya jana akanitext sms akasema amepata mwanaume wa kumuoa so yupo mbioni Kuolewa? Sasa na mm kwa hasira nikasema hata mm nilichelewa kukuambia nimeposa tayari na mwezi wa 10 mwaka huu ndoa itapita ,. Ngoja nianze kuoga matus kwanza we ni sinitch mkubwa na munafiki Sana , unasema unanipenda huku umetoa mahali hapo unanipenda wap?

Mbwa mkubwa huna lolote Tena futa namba zangu zote shetani mkubwa? Duh. , Bac mm nikamwambia kwani ww siunataka Kuolewa na mm sinataka kuoa kwani ubaya uko wapi situpeane heshima tu? Akasema Nan amesema anataka Kuolewa?

Mimi nilikuwa najisemesha tu na Wala Sina mwanaume ila ww kwa nn umeposa wakati unajua tunamalengo ya kuoana?

Nikamwambia bac hainajinsi Mungu atakupa mwingine akadai Tena nikimuona nisimusalimie? .

Kimsingi mm sijaposa ila alivyo niambia kuwa kaposa nikaumia na mm nikajihami na msimamo sikuubadili Richa kuwa niuongo.

Wanawake kwann munapenda kujaribu jaribu Sana wanaume wakati mmetepeta Sana Kama tembele.?

Nawasilisha.
hahahaha! mkuu nimekutana nazo nyingi sana. nahisi dada zetu wa siku hizi furaha yao kuona wanaume wanapata tabu. ngoja niwaambie chache kati ya nyingi zilizonikuta.
nilikuwa na demu huyo, bahati nzuri mwenzangu alipata nafasi ya kuendelea form six mimi credit hazikutosha nikao nirudie kisa credit moja kwa ajili ya six nikaona ujinga nikaenda zangu chuo nikaanza astashahada, naingia stashahada (diploma) mwenzangu kamaliza six kafaulu anaingia chuo, sasa kipindi wakati yupo six tulikuwa hatuwasiliani sana alivyofika chuo siunajua uhuru anao! nikategemea tutakuwa tunawasiliana sikumoja nampigia ananiuliza eti HIVI LAZIMA UNIPIGIE KILA SIKU AU KILA BAADA YA SIKU MBILI? nikamuuliza nakukera kwani? jibu lake sasa, eti ahhh sioni ulazima. kidume nikasema basi fresh,
nikakausha, nikaendelea na mishe zangu, maana nikimpigia hata baada ya kila wiki bado atalalamika maana alikuwa anaongea na mimi kama ugomvi!
heeeh! hata wiki haujaisha simu imeingia eti we mwanaume gani! hunipendi, siku zote hizo hunitafuti unaona sawa? nikasema kimoyoni duuh! huyu demu mzima kweli? ikabidi niwe mpole nikamwambia nisamehe nitakuwa nakupigia, bado lawama kibao, nikaona isiwe kesi nikamwambia basi fanya maamuzi. nimekusamehe usurudie tena.
nakawa nampigia pigia kiaina, nikapitisha siku moja nilikuwa sina salio kesho yake akanipigie yeye, alitililika maneno nakawa mpole tu. kesho yake ikaja sms hiyo! gazeti likasome eti inanielezea kasoro zangu eti sifai na kamwe nisahau kuwa nilikuwa na mwanamke kama yeye na braa braa kibao! na alifanya kitendo hicho alikuwa anajua kabisa jamaa nina pepa siku hiyo la kumaliza diploma mwaka wa kwanza kuingia wa pili.
nikaona nisimjibu, nimekaa karibu mwaka nikawa naona namba ngeni inanitumia sms karibu mwezi maana nilikuwa nimesha sahau, mara oooh! umenisusa, hata salamu! nikaona hebu ngoja nipige, kumbe ni yeye, mara misamaha kibao nikamsamehe, ila nikamwambia, ukiona sikupigii sina salio, nipigie wewe! akakubali,
nikamaliza dip, nikawa napambana kitaa Mungu akanyoosha mkono, si nikapata kasehemu ka kupata ugali! nikaona niunge li degree, ila nilimfahamisha kuwa nimemaliza dip, hakujua kama kuna kaprogress nimefanya, alijua nipo kitaa tu nimezubaa maana kozi nilizo soma ili utoboe lazima uwe na connection na watu wazito kidogo afu akicheki mjamaa ananiona mwenyewe mwenyewe, nadhani alihisi huyu ndo basi tena! si akinipiga chini buana! tena kwa kashfa kibao! mara sio type yake mara siwezi badilika,
nikasema sawa, badae kupitia kwa marafiki zangu na ndugu wakasema huyu mjamaa mbona ni Mh mahali fulani halafu bado anaendelea na msuli kajiongeza, ikabidi apitie kwa ndugu sasa ingawa ndugu nikazingua nikasema anitafute yeye............. akanitafuta lakini nikawa nipo nae tu si mfuatilii saana!

wanawake wa siku hizi Mungu anawaona!
 
bro, una nikumbusha mbali, sana.

mimi mwenyewe single maza alijilengesha, nika mwambia nina mke, akasema haina shida ata heshimu.

Two weeks akaanza mara, mwanae anaumwa, mara umeme kwake kamalizia wiring ila hela hana na fundi ana msumbua kweli, mara ada ya chuo kapungukiwa elf.60 n.k n.k

NIKA MWAMBIA SIUNAJUA NAMI NINA MKE, NA MKE WANGU NAMIMI TUNA MAHITAJI?
akasema Eee najua umeoa,

nika mwambia sasa nahusikaje kwa umeme wa nyumbani kwako?
au ada au n.k n.k??

Akasema kwa hiyo ULIVYO KUWA UNA NI BINUABINUA NA KUNI KUNJA KUNJA ULIDHANI OFAAA....!

nikasema hatukuwa na makubaliano ya pesa wala kuoana,

AISEE NILIOGA MATUSI ACHA TUU,

nikampotezea, nowdays ananiona napita na mke wangu ana drive kanibeba kwenye kigari chetu, kazini na misele miseleee

ANASEMA ETI, SIKU HIZI UNA RINGAAAA
NAMI NAMPOTEZEA, SIKU WAHI KUJIBU MATUSI YAKE HATA MOJA,

wanawake TUISHI NAO KWA AKILI TU.
We nawe ulijichanganya,kwani mkeo hakutoshi?. Huko ni kuidhalilisha taasisi ya ndoa.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom