cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,324
Uwe unaandika vizuri Sasa unaandika langu za wahuni humu au una target group gani, maana kila aina la andishi Lina target watu flani.Kwahiyo mimi mhuni sio?
Uwe unaandika vizuri Sasa unaandika langu za wahuni humu au una target group gani, maana kila aina la andishi Lina target watu flani.Kwahiyo mimi mhuni sio?
Kwahiyo kwasababu huelewi ni uhuni sio!?Uwe unaandika vizuri Sasa unaandika langu za wahuni humu au una target group gani, maana kila aina la andishi Lina target watu flani.
Kumbe hiki kilugha unakiweza Carleen.
Nashangaa kwanini mpaka sasa hujanishtua eti.!
Next time, ukiona lugha kama hizi niite nikutafasrie walaqhi'..(akiiona Jurajani hii nimeuwawa.)
😅 😅Kumbe hiki kilugha unakiweza Carleen.
Nitakuwa nakuita. Asante sana.
Unamchokoza mwenyekiti wa BAKITA. Ngoja aje.
Jana nimemind kinyama😅 😅
Usiniitie m/kiti wa BAKITA 'tazavali' sana.!
Utakielewa only if 'Chuga is your hood'..!
Sio kilugha bana hiki ni kama sheng tu tukiwa Kibera pande za NaiKumbe hiki kilugha unakiweza Carleen.
Nitakuwa nakuita. Asante sana.
Unamchokoza mwenyekiti wa BAKITA. Ngoja aje.
Haha.!Jana nimemind kinyama
HahahaHaikatai mamiloo ila ukitaka fanya mafeke day moko tubonge tukiwa ndichi tuna kwichikwichi ndo itakuwa yechu zaidi.