Wanawake, Jifunzeni kuongea zaidi ya kulalamika

elewa hawa ni viumbe tofauti..... mwanaume aliumbwa kwa mavumbi.... mwanamke aliumbwa kwa ubavu wenye nyama wa mwanaume na mavumbi...... ukianza kumuelewa mwanamke ujue uko kwenye early 68yrs......kulalamika ndo maisha yao......ukichelewa shida,,, ukiwahi taabu.....alimradi ahakikishe anakuweka in life attention.
 
Ndio maana wanawake wa tanga wanapendwa sio sababu ya majamboz ni sababu wana ulimi wa kuongea na mwanaume.
 
Hii tabia ya kulalamika ipo kwa wanawake wengi inafanya wanaume kupoteza upendo..wanaume wengine hutumia muda mwingi bar na hawataki kurudi kwao mapema.
 
elewa hawa ni viumbe tofauti..... mwanaume aliumbwa kwa mavumbi.... mwanamke aliumbwa kwa ubavu wenye nyama wa mwanaume na mavumbi...... ukianza kumuelewa mwanamke ujue uko kwenye early 68yrs......kulalamika ndo maisha yao......ukichelewa shida,,, ukiwahi taabu.....alimradi ahakikishe anakuweka in life attention.
ohoo sawa mkuu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom