Wanawake Ishini Maisha ya Uhalisia

Mkuu kitu kidogo tu unakuja kusema huku je Mimi niliemtia mimba beki tatu unajua sahivi nahali mbaya kiasi gani..?

Muda mwengine najikuta tu nakemea fire fire fire! Lakini sauti nyengine inaniamba "ushakuwa baba Sasa acha ujinga"
 
Ni la moto
 
Sheria za ulevi ukiitwa kwenye bia kama unywi bia ulizokuta kwa meza kua mpole au agiza za kwako, baada ya hapo waliokuita wataamua walipie bill au laah
 
Ndiyo walivyo; lengo waonekane classic au wa gharama lakini pia lengo atumbue pesa zako vibaya. Kesho utamkuta anapiga KONYAGI
 
Back
Top Bottom