Mbona kimya thread haiendi kabisa watu wangu. Bado muafaka haujapatikana kabisaaaa hapa! Wana JF sugueni vichwa kwa hoja nzito zenye fikra chanya
First its Lagatege[jina la ukoo] not Lagatende na kama hujapata hata mwanga kidogo kwenye michango hii 60 sidhani kama hata tukichangia zaidi utafaidika.