Wanawake huwa wanapenda/kuhitaji nini?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,225
Mbona kimya thread haiendi kabisa watu wangu. Bado muafaka haujapatikana kabisaaaa hapa! Wana JF sugueni vichwa kwa hoja nzito zenye fikra chanya

First its Lagatege[jina la ukoo] not Lagatende na kama hujapata hata mwanga kidogo kwenye michango hii 60 sidhani kama hata tukichangia zaidi utafaidika.
 
Marlenevdc

Member
Oct 1, 2008
50
0
That is why some people claim that men and women come from different planets! There are others who simply say that we were made in such a way as to complicate each other's lives!
 
Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
1,500
That is why some people claim that men and women come from different planets! There are others who simply say that we were made in such a way as to complicate each other's lives!

Asante nimepata mwanga kidogo katika wote waliochangia. Its simple BUT the answer is in it. Sasa wanaJF wachambue hii philosophical statement kisha kila mmoja atoe maelezo jinsi alivyoielewa.

Aluta Continua
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
2,000
Women are so soft and easy to handle. It is like when u eat bamia and ugali it just teremka in your throat. So once you have known what she wants and apply her WANTS. .

Hili ndilo swali. Wha does she want. Even if you give her every material things,love etal plus daily pumping yet she will come with another deadly disappointment. Tumjibu kama kuna wmeye jibu please.
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
2,000
Thats why they are called women. hata maandiko yanasema '' Kaeni nao kwa makini hao"
yakimaanisha hao ni women. If she is too happy i mean she gets everything , she wants to share them with someone else , if she is sad and lacking , she wants to get it from someone...everytime love will be used as a disguise.
 
LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,475
1,195
That is why some people claim that men and women come from different planets! There are others who simply say that we were made in such a way as to complicate each other's lives!

Asante nimepata mwanga kidogo katika wote waliochangia. Its simple BUT the answer is in it. Sasa wanaJF wachambue hii philosophical statement kisha kila mmoja atoe maelezo jinsi alivyoielewa.

Aluta Continuamshiiri,
Do you think men and women were made to complicate each other's lives? Why, (if you answer is yes)?

Discussion itakwenda vizuri ikiwa utauliza maswali ambayo bado hujapata majibu yake. And please be specific!.
 
NANOO

Member
Jun 9, 2008
27
0
...wanataka kusikilizwa! akianza kulalama we mwache alalame weeeh, ...usijidai mjuzi wa kuingilia na kutoa ushauri uonavyo wewe, UNLESS amelalama kiasi keshaishiwa pumzi na maneno, ...kisha anakutumbulia mimacho ya "mbona husemi kitu", ...hapo ndio nawe tumbukiza lako moja kwa sauti ya 'upole', "NIMEKUELEWA MKE WANGU!"

Umenichekesha ndugu hujui ukinyamaza ataanza soo jingine kua unamdharau
 
Mage

Member
Sep 2, 2008
42
0
Dah! Man hii topiki iko hot sana yan unaweza uka ukwea U PhD mwisho wa kuijadili. Nataraji kurudi kuchangia hapa mfungo ukiisha. MY BLOOD SUGAR IS VERY LOW.

Chichi mfungo umeisha.waiting to hear from u.
 
Fisadi.Jones

Senior Member
Aug 15, 2008
110
0
Wanaume wanachukulia wanawake wote ni sawa.

Huo ndio mwanzo wa matatizo.

Wanawake wako tofauti sana nikwambie. Na mahitaji yao, na expectations zao pia zinatofautiana. Kama ulikuwa unatafuta magic-formula, umeanza vibaya, rudi nyuma anza upya.

Ila nitakusaidia kidogo.

Rule 1: Mjue mwenzi wako.Kwa uhusiano wowote unaouanza, hakikisha unamtafuta kumjua huyo mwenzi wako. Usi-assume tu kwamba atakuwa anataka/expect hiki na kile kwa sababu tu washkaji zako wamekwambia, au kwa sababu tu umesoma kwenye forum, au kwa sababu uliyeachana naye ndio vile.

Rule hii itakusaidia hata katika mahusiano mengine yasiyokuwa ya mapenzi, kama na bosi wako kazini.

Rule 2: Mpe atakacho kama huwezi mwambie wazi
Ukishajua anataka nini bwana usimbanie. Unless hujafika. Mpe na usisubiri upewe.

Kama kipo nje ya uwezo wako. Mwambie, na umeeleweshe.

....
Rule nyingine zinakuja kwenye kitabu changu kitakachochapishwa hivi karibuni ... stay tuned ...
....

Rule 30: Mkamue hasa
Unaweza ukawa unadhani ukimpeleka ki-staarabu ndio atakupenda zaidi. Mara nyingi utaumia kwasababu kama yeye ni mmoja wa wale wanaoangalia sana TV, atakuacha na hutajua ni kwa nini. Mkamue hasa, sehemu yoyoye, saa yoyote, kwa staili zote, (kadiri pumzi yako inavyokuruhusu).

Ila akisema inatosha, tulia. Na tumia muda huo kukusanya nguvu maana hutaki ukirudi ulale baada ya secunde mbili.
....
 
Mr. Miela

JF-Expert Member
Aug 2, 2007
732
1,000
duuuuuuuuh!!!!QM Baba lao.mi nimependa sana mawazo yenu wote mlosema kuwa wanawake wanahitaji au wanapenda kusikilizwa na kupewa Care ya hali ya juu kama wao wanavyocare.sooooo men u take care of ur wives and fiancees and they'll also repy the same.Wanawake wanapenda kupendwasana na uaminifu wapewe.
 
Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,216
0
Rule 30: Mkamue hasa
Unaweza ukawa unadhani ukimpeleka ki-staarabu ndio atakupenda zaidi. Mara nyingi utaumia kwasababu kama yeye ni mmoja wa wale wanaoangalia sana TV, atakuacha na hutajua ni kwa nini. Mkamue hasa, sehemu yoyoye, saa yoyote, kwa staili zote, (kadiri pumzi yako inavyokuruhusu).

Ila akisema inatosha, tulia. Na tumia muda huo kukusanya nguvu maana hutaki ukirudi ulale baada ya secunde mbili.
....
Well said....!!! hii ndio nguzo muhimu ya wapendanao,akibaniwa au akipewa nusu nusu basi ataitafuta kando.
 
Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,068
2,000
Well said....!!! hii ndio nguzo muhimu ya wapendanao,akibaniwa au akipewa nusu nusu basi ataitafuta kando.

Ndugu yangu wanaosema kuwa ni viumbe complicated hawajakosea. Ukichapa fimbo sawa sawa anaweza kukukimbia, akasema ooohh mimi kutwa mara tatu siwezi. So inategemeana jinsi alivyo, kuna wengine wanademand less na wengine wanahitaji utumie viagra, kwa hiyo rule no 30 sio applicable kwa wote.
 
Fisadi.Jones

Senior Member
Aug 15, 2008
110
0
duuuuuuuuh!!!!QM Baba lao.mi nimependa sana mawazo yenu wote mlosema kuwa wanawake wanahitaji au wanapenda kusikilizwa na kupewa Care ya hali ya juu kama wao wanavyocare.sooooo men u take care of ur wives and fiancees and they'll also repy the same.Wanawake wanapenda kupendwasana na uaminifu wapewe.

Mzee hakuna formula. Wapo wanao-care hivyo na badaye wanalizwa. We hujaona mtu ana-care vilivyo lakini mtu mwingine anakamua mke wake mtarajiwa siku moja kabla ya ndoa? Hujasikia mtu ana-care halafu kwenye hanemuni mtoto anatoroka kupewa kitu na jubaba lingine?

Au haujasikia lijamaa halikei wala nini lakini bibie ndio askii la mtu? Sasa hivi tunavyoongea kuna mshkaji wangu yuko na demu flani. Huyu demu kamganda mshakaji ile kisawa sawa na anataka aolewe. Mshakaji anamwambia live, hata sisi tukiwepo, kwamba hana mpango hua, sio sasa sio baadaya. Lakini demu bado anafunga tu kwa mshkaji ... lol ... Na mbaya zaidi mshakaji anakamua mademu wengine, na huyu demu anajua, na ameshamfumania.

Hakuna fomula babu. Mjue mtu wako, then pima kama mnawezana ama la ...
 
Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
1,500
Kutokana na thread hii napenda kuifunga kuwa WANAWAKE HAWAJUI WALITAKALO! Period!!
 
Sugar wa Ukweli

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
373
0
Me i belive wanawake wanapenda kudanganywa ukiwaambia ukweli imekula kwako iyo,
ukimdanganya nasubiri mshahara beby a'l give you anakuelewa but ukimwambia ukweli mama sina pesa kwa sasa atakukimbia. So inakuwa bora umdanganye mpaka utakapopata kuliko kumwambia ukweli.
 
Babuyao

JF-Expert Member
Jun 6, 2009
1,741
1,500
Mwanamke anapenda mengi, lakini kubwa kabisa mwanamke anapenda kuwa PROTECTED kwa kila hali dhidi ya adui yeyote anayetishia usalama wake. Anahitaji usalama, amani ya kiakili, kimwili, kihisia. Mwanamke anatafuta mwanaume wa aina hiyo. Anataka mwanaume awe MWANAUME KWELI katika maana yake pana, mwanAume mwenye kumhakikishia usalama na utulivu. So please "BE MEN!"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom