Wanawake hutoka zaidi nje ya ndoa wakati huu!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Jambo hili linaweza kuwashangaza wengi, kuhusiana na swala zima la kutoka nje ya ndoa. Ni kwamba, kama mwanamke ana hawara, ni rahisi zaidi kwake kufanya tendo la ndoa na hawara huyo wakati akiwa kwenye kipindi anachoweza kupata ujauzito, tofauti na anapofanya tendo la ndoa na mumewe.

Watafiti wanaoaminika sana katika suala hili ni Bellis na Beker ambao walibaini kwamba hakuna utaratibu au kanuni yenye kuonesha kwamba, akiwa kwenye nyakati zake za ‘hatari' mwanamke hutamani kukutana kimwili na mumewe. Lakini waligundua kwamba, akiwa kwenye nyakati hizo, kuna kuvutwa zaidi kufanya tendo la ndoa na hawara.

Wanasaikolojia ya mabadiliko ya binadamu wanadai kwamba, hali hiyo ni ya kimaumbile zaidi kuliko kitu kingine. Bila shaka, ndio maana wanaume wengi wanapogundua kwamba wake zao wanatoka nje hujikuta wakianza kuwa na mashaka na watoto kama kweli wao ndio baba zao halali. Huu pia ni wito wa kimaumbile.

Nadharia nyingi zinazohusu jambo hili, zinaonesha kukiri kwamba, mwanamke anapokuwa na hawara, ni rahisi kuzaa watoto na hawara huyo kuliko kuzaa na mumewe wa ndoa. Ikumbukwe kwamba hapa ninazungumzia hawara na sio mwanaume ambaye ametembea na mwanamke husika ‘kwa bahati mbaya.

Kipindi ambacho mwanamke akifanya mapenzi anaweza kupata ujauzito ni kipindi ambacho hata hamu yake ya tendo la ndoa huongezeka pia. Kwa hiyo kama mwanamke ana hawara ni wazi atakwenda kukutana naye.

Taarifa ya U.S. News & World Report kwa mfano inasema kwamba, katika majaribio kadhaa ya vipimo vya damu (DNA bila shaka), ilithibitika kwamba, katika kila watoto kumi, mtoto mmoja alibainika kuzaliwa na mwanaume wa nje.

Lakini ripoti za karibuni kabisa, zinasema wanaume wanaodanganywa au kubambikiwa watoto wameongezeka na kufikia mmoja katika watoto saba na sio mmoja katika kumi. Idadi hii inaongezeka kwa sababu uaminifu katika ndoa nao unazidi kuporomoka.

Kwa hapa kwetu upatikanaji wa takwimu za aina hiyo ni mgumu. Lakini bado naendelea na utafiti huu, nitakapopata takwimu sahihi za hapa nchini kutoka kwa wahusika nitaziweka hapa.

Onyo kwa Wanaume: msije mkaanza kuwanyooshea wake zenu vidole, sitahusika kwa namna yoyote.

• Thanks
Reactions: SMU
Jambo hili linaweza kuwashangaza wengi, kuhusiana na swala zima la kutoka nje ya ndoa. Ni kwamba, kama mwanamke ana hawara, ni rahisi zaidi kwake kufanya tendo la ndoa na hawara huyo wakati akiwa kwenye kipindi anachoweza kupata ujauzito, tofauti na anapofanya tendo la ndoa na mumewe.

Watafiti wanaoaminika sana katika suala hili ni Bellis na Beker ambao walibaini kwamba hakuna utaratibu au kanuni yenye kuonesha kwamba, akiwa kwenye nyakati zake za ‘hatari' mwanamke hutamani kukutana kimwili na mumewe. Lakini waligundua kwamba, akiwa kwenye nyakati hizo, kuna kuvutwa zaidi kufanya tendo la ndoa na hawara.

Wanasaikolojia ya mabadiliko ya binadamu wanadai kwamba, hali hiyo ni ya kimaumbile zaidi kuliko kitu kingine. Bila shaka, ndio maana wanaume wengi wanapogundua kwamba wake zao wanatoka nje hujikuta wakianza kuwa na mashaka na watoto kama kweli wao ndio baba zao halali. Huu pia ni wito wa kimaumbile.

Nadharia nyingi zinazohusu jambo hili, zinaonesha kukiri kwamba, mwanamke anapokuwa na hawara, ni rahisi kuzaa watoto na hawara huyo kuliko kuzaa na mumewe wa ndoa. Ikumbukwe kwamba hapa ninazungumzia hawara na sio mwanaume ambaye ametembea na mwanamke husika ‘kwa bahati mbaya.

Kipindi ambacho mwanamke akifanya mapenzi anaweza kupata ujauzito ni kipindi ambacho hata hamu yake ya tendo la ndoa huongezeka pia. Kwa hiyo kama mwanamke ana hawara ni wazi atakwenda kukutana naye.

Taarifa ya U.S. News & World Report kwa mfano inasema kwamba, katika majaribio kadhaa ya vipimo vya damu (DNA bila shaka), ilithibitika kwamba, katika kila watoto kumi, mtoto mmoja alibainika kuzaliwa na mwanaume wa nje.

Lakini ripoti za karibuni kabisa, zinasema wanaume wanaodanganywa au kubambikiwa watoto wameongezeka na kufikia mmoja katika watoto saba na sio mmoja katika kumi. Idadi hii inaongezeka kwa sababu uaminifu
habari ndo hiyo mana ake kwa hapa kwetu ndo kabsaa itakua kila watano watatu co wako mana hapa ndo balaa tupu!

hii yaweza kushabihiana na taarifa niliyowahi kuisoma katika gazeti hapa hapa TZ kuwa 60% ya watu waliokwenda kupima kutaka kujua uhakika wa watoto waligundulika kuwa sio wa baba wanao walea.

uuuuph! ngoja ntafute ka-hawara ili nithibitishe then ntaleta feedback

Takwimu za hapa bongo unaeza kukuta katika mtoto mmoja huyohuyo sio wako teh teh teh.

Duh! Mi sitaki kuamini kwakweli! Ina maana wamama wanakuwa wanajua ila wanaamua kufanya siri au inakuwaje?

Similar Discussions

Back
Top Bottom