Wanawake hupende mwenye Ndevu au Asiye na Ndevu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake hupende mwenye Ndevu au Asiye na Ndevu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kimbweka, Jul 19, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Eti kwa aina hii ya ndevu wengine huvutiwa zaidi! Wanaume wamekuwa wakijiuliza je, ni vizuri kunyoa ndevu kipara kabisa au kuziacha zikue na kuwa mzee madevu?.
  Je, nitaonekana navutia nikiwa nimenyoa ndevu au sijanyoa ndevu?

  Utafiti huko Uingereza unaonesha kwamba wanawake wengi (si wote) huvutiwa sana na wanaume wenye videvu vyenye ndevu kidogo (Stubble) kuliko wale wasio na ndevu kabisa (clean shaved) au wenye vichaka vya ndevu (full beards) kwa ajili ya sex, mapenzi na ndoa.
  ... Njia rahisi ya kuvutia wanawake ni mwanaume kuwa na kidevu chenye ndevundevu na si kuwa kipara au nyingi kama akina Osama.

  Kuwa na ndevu (kwa mwonekano wa aina hiyo) hudhihirisha uwezo kinguvu, uimara, ukomavu kijamii na mvuto (best romantic partners)
  Kuwa na ndevu ni kiungo cha nguvu kijamii na kimapenzi kwani ni alama ya kuonesha ukomavu kibaolojia.
  Wale wasio na ndevu kabisa huonekana hawajakomaa na wale wenye vichaka vya ndevu huwa na sura inayotisha mno au kuonekana wababe na hawavutii sana.
  Je, huu utafiti una ukweli wowote? labda wanawake wanaweza kutoa maoni!

  AMEN......
   
 2. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  dwuh.. emh ngoja waje ila nadhani ni kweli ndo mana ata ninii bado anang'ang'ania na utu tundev twangu twakishkaji
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  eeeeh ngoja waje wafunguke kabisaa, kama watapenda wenye ndevu tujiandae kutafuta za kichana sasa......
   
 4. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mim beibe nasty my jg anaachaga stubble n anjua huwa navifanyiaga nin na ofcoz zinamvuto bt zikikua tu namwambiaga bby u av to shave n maisha ni briiiiiiii na cocacola
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kumbe zina kazi yake eeeh, zinakuna kuna..........
   
 6. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  nazile ndevu zake ka stilwire afu zimefunika mashav yote hayo lazima uote sugu
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahahahahahaaaaaa aote sugu sehemu gani sasa?.......................
   
 8. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Zina kazi ndio ila kama hujui tumia hapo chacha
   
 9. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ajira sikuhiz hakuna so afadhali unavojikeep biz kujisugulisha kichwaa juu ya mwanaume mwenzio shauriro halaf ni sawa wewe somalia unanjaa halafu waleta kibur kwa FAO utalala njaa
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi na ndevu unaweza nyoa kiduku eeeh?.........
   
 11. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  For gentleman huwez nyoa wazimu huo kiduku manake nin na hao wanaojiita masharo wafanye nin hizo muachie junior
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Inamaana junior siyo gentleman?
   
 13. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  uzalendo umenishinda leo niseme!!
  kwakweli unaniacha hoi na unapomalizia sentensi "AMEN" khaaa Kimbweka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahahaha Aza umeenifanya nijichekeleshe tu.....
   
 15. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  poa wangu Kimbweka
  yani ilinifanya nifatilie kila tundiko lako asee and:smile-big:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Bado hakifikia utafahamu
   
 17. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  sina haja ya kudhihilisha ugentlmn wangu kwako.. Lakini am sure unalijua
   
 18. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Fivestar wanamhitaji mwimbaji mmoja wahi nafasi hiyo junior
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahaha chokochoko hizo utachokolewa na wewe shauri yako......
   
 20. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  kazi yangu unaijua vizuri tu na ndo ambayo ulikua unanilipa kwa ajiri yake, sina haja na five star wakati watu ka nyie mnaniitaji sana.!!
   
Loading...