Wanawake hupenda kupita walipopita wenzao

Wakuu habarini!

Nimejaribu kufanya utafiti nimegundua kitu katika mapenzi kuhusu wanawake wote duniani.

Mwanamke yeyote huwa anapenda kutembea na mwanaume anaekuwa na wanawake wengi.

Nimetembea na wanawake wengi lakini kuna kitu nimegundua kuwa mwanamke huwa anapita anapopita mwanamke mwezake.

Nilipokuwa shule nilitembea na mabinti tena marafi wote huku walifahamu kuwa kati ya rafiki yao ni mtu wangu.

Pia chuo nimeona hiyo tabia kwa kulala na wanawake wote wanaoshi chumba kimoja.

Zaidi kuna sehemu nimepanga naleta wanawake huku mother house ananiona cha ajabu eti na yeye anataka.

Nilichogundua wanawake huwa wanapenda kutembea na mwanaume anaetembea na wanawake wengi.

Kuna vitu huwa wanajiuliza sana.
Mfano...1 kwanini wanawake wengi wanampenda huyo kaka?
2.huyu kaka atakuwa na nini?ngoja nijaribu na Mimi.

Cha ajabu hela sina pia uzuri sio sana lakini ukimjaribu tu mwanamke anakubali hapo unakuta anafahamu kuwa unatembea na fulani.

WANAWAKE KWANINI HII TABIA JAMANI?HUWA MNATAKA NINI KWA WANAUME WENYE TABIA HIYO?
Hiyo kitu mkuu ni saikolojia ndogo tu hapo,wewe jua kuwa ni Malaya na kwa umalaya uliofikia ni kuwa unajua mbinu nyingi/jinsi ya kuwapata wanawake kiurahisi sana kwani weakness zao umeshazijua,kwahiyo utajikuta list ya wanawake wengi unaowatongoza wanakukubali sio kwakuwa wewe unatembea na wanawake wengi ila kwakuwa unawajuwa madhaifu yao.Ni kweli kuwa wanaume wengi Malaya wanafikiria kuwa wanapendwa kwa umalaya wao,ukweli ni kuwa uzoefu wako wa kuchezea wanawake wengi ndio unaokupa hiyo nafasi ya kuwapata kiurahisi,remember once you get started you can't sit down,ukimwi upo na unaua chukua hatua...
 
'Kila mwanamke anataka bwana mwenye game,
Ina maanisha wanataka bwana mwenye game"
 
Unauliza majibu? Uliza maswali. Wanaume malaya ni rahisi kuwapata kuliko wanaojiheshimu. Wanawake pia wanalijua hilo.
Wakuu habarini!

Nimejaribu kufanya utafiti nimegundua kitu katika mapenzi kuhusu wanawake wote duniani.

Mwanamke yeyote huwa anapenda kutembea na mwanaume anaekuwa na wanawake wengi.

Nimetembea na wanawake wengi lakini kuna kitu nimegundua kuwa mwanamke huwa anapita anapopita mwanamke mwezake.

Nilipokuwa shule nilitembea na mabinti tena marafiki wote huku walifahamu kuwa kati ya rafiki yao ni mtu wangu.

Pia chuo nimeona hiyo tabia kwa kulala na wanawake wote wanaoshi chumba kimoja.

Zaidi kuna sehemu nimepanga naleta wanawake huku mama mwenye nyumba ananiona cha ajabu eti na yeye anataka.

Nilichogundua wanawake huwa wanapenda kutembea na mwanaume anaetembea na wanawake wengi.

Kuna vitu huwa wanajiuliza sana.
Mfano...1 kwanini wanawake wengi wanampenda huyo kaka?
2.huyu kaka atakuwa na nini?ngoja nijaribu na Mimi.

Cha ajabu hela sina pia uzuri sio sana lakini ukimjaribu tu mwanamke anakubali hapo unakuta anafahamu kuwa unatembea na fulani.

Wanawake kwa nini mna hii tabia lakini ?ha mnataka nini kwa hawa wanaume
 
Mpenzi wangu alikuja na marafiki zake wawili gheto. Hao marafiki zake anafanya nao kazi ofisi moja. Ilikuwa jmoc wakapika tukala, maongezi ya hapa na pale tukabadilishana namba na mashemu zangu, jioni Mpenzi wangu na ugeni wake wakasepa. Kesho nikiwa nmerudi toka kanisani ukaingia ujumbe kwa simu yangu; kucheki ni mmoja wa mgeni wa jana, akinisalimu. katika kuchart akaniuliza kama anaweza kupitia hapo kwangu kwani anatokea kwa mama ake mdogo. Nikamwambia anaweza. baada ya saa moja huyu hapa. Kiukweli nilimla kirahini sana
 
Hii ni kweli kabisa nadhani yule unayemmiliki uwa anawapa story wenzake. Me nilikuwaga na kademu kanasoma ch.uo kila mate wake alikuwa anajirahisisha kwangu natafuna kila akibadilisha mate naona anajitongozesha kuna mmoja wakati wako mwaka wa tatu nikamuuliza kwa nn alikuwa anaweka ukaribu wakati anajua mie namchukua mate wake akasema yaani uwa anajisifia unavyomkuna kwa hiyo na mie nikataka nione huo ukunaji. Nikamwambia umegundua nn akasema wa kawaida tu
 
Siku moja nilitulia na kuangalia video clip moja kupitia youtube kuna msanii mmoja dada matata sana anahojiwa na Ayo, katika maelezo yake alisema yeye ameshazoea mapenzi ya purukushani, yaani leo kaamka na kipigo, kesho kaokota chu**pi ya demu mwengine kwenye gari la mpenzi wake, siku nyingine ni matusi tuuu, yaani yeye mwanaume mkimya hata kama ni mtafutaji kwake ni big No. Nilishangaa sana. Maana wadada utawasikia mi mwanaume kiwembe na apite tu, lakiini kesho na keshokutwa utamuona na huyo huyo kiwembe anaenda kumpa mambo, mi nadhani ni nature ya mama zetu na dada zetu hawa, kwamba wameumbwa kupenda vitu vya hatari kiaina, na huwa ina wa cost kweli mpaka wakija wakishtuka kutaka kutulia sasa jua limekuchwa.
 
Back
Top Bottom