Wanawake huongozwa na hisia!!!

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
Wanawake hufikiria mambo kwa kufanya vitendo vya hisia,kwakuwa husukumwa na nguvu za asili zaidi. Wanawake wengi hawawezi kufikiria mambo kwa mantiki wanapokuwa katika shinikizo. Ndio maana kwa kulinganisha na wanaume wanawake ndio ambao mara nyingi huwa na tabia zinazobadilika,leo ataonekana mwenye mapenzi,kesho ukimsalimia anakaa kimya au kukujibu kunya,kesho kutwa anakuchangamkia na kadhalika!!!

Je ww una lipi la kuongezea juu ya hili?
 
TripleA kweli hapo mimi sijui ngoja waje dada zao uone watakavyokuchambua, wala sijui umewaza nini ukaanza kuandika haya.
 
Inawezekana kabisaaaa,,,,,hayo ya kununa na kutabasamu,,,,,,any way wenyewe wana mengi,tuwaskilize
 
Umeona hata ww eee,kina husninyo na wenzako vp mbona mnakimbia namna hiyo? Kuna kaukweli eti eee?

Inawezekana kabisaaaa,,,,,hayo ya kununa na kutabasamu,,,,,,any way wenyewe wana mengi,tuwaskilize
 
Back
Top Bottom