Wanawake hizi group zenu za Whatsapp! Nini faida yake?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakheri wadau,

Nimeshika simu ya wife leo ili nidownload nyimbo za dini, si unajua mambo ya university offer tigo washatujambia.

Ile kuwasha data tu! Nakutana na ile milio ya poon! Poon! Kama buku hivi. Nikajiuliza simu ya wife kuna nini huku whatsapp?

Nikajiona mwamba kutumia hii whatsapp kufuta kosa la id ya jamiiforum! Duh! Kuchek group ya kwanza inaitwa kungwi wa tanga!

Ya pili mdogo ake bi kiduke, ya tatu chips hazina ukoko, ya nne raha ya pweza mchuzi.All groups ni maporn tu na mada za kugegedana. Halafu wife ni active participant! Ingekuwa JF angekua gold member.

Sijamuuliza nasubiri muda wa chakula cha usiku nimuulize katikati ya game. Inawezekana mi mshamba na nikawa namuonea mke wangu.

Ladies nini umuhimu wa hizi groups?
 
Si anauhuru Wa kutumia Simu Yake. Provided haitumii kuwasiliana na mchepuko but kwa hizo group ulizotaja nàamin anazitumia kupata maufundi ya bed....no offense.....
 
Wote kwa majina ya groups za mkeo nawe mwenyewe mzama chumvini alie mbele hajulikani wote watata nyie anza kubadili jina lako kwanza.
 
Atakua mama wa nyumbani na pia sidhani kama majukumu yako au yake mnafanya kama inavyotakiwa,manake huko ukiwa busy na maisha huo muda unaupata wapi wa hizo group,na hakuna jipya zaidi ya kufundishana ufuska na ukute wengine hawajui mambo ya watu ndio wanaanza kuiga m[aka wana sagwa kwakutaka kujaribu vitu vya ma group...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom