Wanawake hili sio poa

Pamoja na meseji zote hizo kiukweli nimepigwa na butwaa sijajibu meseji hata moja. Nashangaa tu imekuaje au siku hizi m-pesa ukituma pesa Wana huduma ya kukutongozea kabisa

Hii huduma walianza mda mrefu sana...

Hao mademu wa michongo wanakusogeza taratibu,, utaitwa itwa majina mazuri halafu baadae ukijaa wanakulipua mzinga mmoja Dunia nzima
 
Back
Top Bottom