Wanawake hela mnazotafuta ni kwaajili ya nini?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,041
Mimi nataka leo wanawake niwaulize hela mnazotafuta ni kwaajili ya nini? Maana kila kitu unamwambia mmeo/mpenzi wako akufanyie unakuta una kazi nzuri tu, pesa huwa mnafanyia nini?

Kama pesa hazijulikani wapi zinakwenda si bora ukaye nyumbani tu ulee watoto?
 
Kama haziingi HAZINA, watakuwa wanajihusisha na utakatishaji, kuwa makini.

Ama ziingie hazina, au warudie majukumu yao ya kimsingi kama YUZA MANYO zinavyoelekeza, bila shaka MANYUFAKCHARA atakuwa amefafanua vyema kwenye hizo manyozi ni nini cha kufanya, kwenda kinyume chake, waranti wili bi nalifaidi endi voidi.
 
Vizuri sana, ila ujue inafikaga mahala tunaelemewa
Hilo tunalijua sana..
Mpaka kufikia hatua sikuonei huruma kuna kitu umenifanya aise hakuna binadamu asiyekuwa na moyo na muda wa kujitafakari.

Imagine uko na mpenzi wako na akikwambia hana hela unamuelewa lkni mwisho wa siku unakuja gundua wewe anakwambia hana hela lakini kuna mwanamke anampa na outing za kibabe...😠😠😠 BABAKE lazima nikuwashe matukio yasiyo na huruma.

Sasa hapo ndo inafikia ile hatua hela yangu yangu yako yangu mpka ukamilifu wa dahari..Hallelujah!
 
Hilo tunalijua sana..
Mpka kufikia hatua sikuonei huruma kuna kitu umenifanya aise hakuna binadamu asiyekuwa na moyo na muda wa kujitafakari.

Imagine uko na mpenzi wako na akikwambia hana hela unamuelewa lkni mwisho wa siku unakuja gundua wewe anakwambia hana hela lakini kuna mwanamke anampa na outing za kibabe... BABAKE lazima nikuwashe matukio yasiyo na huruma.

Sasa hapo ndo inafikia ile hatua hela yangu yangu yako yangu mpka ukamilifu wa dahari..Hallelujah!
Mkwara mbuzi toka hapa sikupi hata kumi pumbavu ukitaka sepaaa niachie wanangu toka kwangu
 
Hilo tunalijua sana..
Mpka kufikia hatua sikuonei huruma kuna kitu umenifanya aise hakuna binadamu asiyekuwa na moyo na muda wa kujitafakari.

Imagine uko na mpenzi wako na akikwambia hana hela unamuelewa lkni mwisho wa siku unakuja gundua wewe anakwambia hana hela lakini kuna mwanamke anampa na outing za kibabe... BABAKE lazima nikuwashe matukio yasiyo na huruma.

Sasa hapo ndo inafikia ile hatua hela yangu yangu yako yangu mpka ukamilifu wa dahari..Hallelujah!

Duuh umeolewa??
 
Sawa tumeelewa ila maswali ya kwanini unagegeda papuchi nyingi hatutaki
Nilichogundua humu JF % kubwa wanaume ndio wanaowalalamikia wanawake. Kama huliamini hilo anza kufanya utafiti wako sasa.

Hatuwezi kuwalalamikia wakuu ukitaka hata kutembea nazo usoni ni sawa tu. kizazi sana.

Ila jua mwanamke akiamua kukuchapa tukio utaishia kumchinja maana atakuwasha tukio hevi mno😂😂
 
Back
Top Bottom