Wanawake hawastahili kuwa waandishi wa habari?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,624
Nilikuwa sijaiona hii kama ilishaletwa naombeni radhi kwa usumbufu!
kilichotokea hapa chini kwa kweli kimenikera mpaka nilijikuta kwa muda
nikiwachukia waandishi wa habari wa kike. Ilikuwa kwa muda tu, hebu jionee
mwenyewe. Kama uliona naomba Comment zako.
(siwachukii tena ingawa sijapenda hii)
Kasheshe mtaani - YouTube
Fumanizi - YouTube
 
GAZETI nilikuwa sijaiona hii, kweli imenisikitisha sana huu ni udhalilishaji mkubwa ambao wanawake wanafanyiana
mi nashangaa wanadai haki sawa sasa mbona wamemdhalilisha mwanamke mwenzao halafu huyo mwanaume
ambaye ndiye aliyefanya tukio hawajamgusa au kwa kuwa ni TRA?
ni kitendo cha aibu na wanastahili kuchukuliwa hatua si unaona jinsi walivyomuumiza? Waandishi gani hao wapuuzi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom