Wanawake hawana vipaumbele maalum vya kudumu kutoka kwa Mwanaume wanaemtaka ili wampende; Hata pesa siyo kipaumbele chao!

Zingatia matumizi ya r na l inachefua kweli kusoma baadhi ya vitu.
 
Nazungumzia sifa maalum ambayo ipo constantly kwa mwanamke katika kuchagua mwanaume haipo!

Hata wanawake nao hawajui, ukimuuliza mwanamke anapenda mwanaume gani; utasikia; "Oooh mimi napenda, awe na kipara, mrefu wastan, awe na nywele nyingii,kidevu kiwe kimepinda kidogo, mweupe, mcheshi, asiwe na mdomo, awe anajielewa,.......N.K yaani utazani anatoa oda kwa mkaanga chipsi... Hadi akimaliza kukueleza utagundua anaemtaka hayupo

Watu wengi wanafikili pesa ni kipaumbele kwa mwanamke, hapana, kwa taarifa yako hata wenye pesa hupigwa za mbavu vilevile.

Pesa ni silaha ya udhaifu(weakness) lakini siyo kipaumbele rasmi cha mwanamke! Pesa ni udhaifu unaochagizwa na ukata/ugumu wa maisha kwa binadamu mwenye jinsia yoyote lakini siyo kipaumbele cha mwanamke kumpenda mwaname!

Hadi karne ya 21 hakuna tafiti hata moja inayoonesha mwanamke anapenda mwanaume mwenye sifa gani! Hii inadhihilisha kauli yangu kwamba woman is for all; ndiyo maana mwanamke unaweza kumhonga range lover lakini akaja kunipenda mimi ninaemzibia pancha tairi.

Hizo six packs au kunyanyua vyuma napo ni mbwembwe tu za show-off lakini siyo kipaumbele kwa wanawake hata kidogo! Kuna wanawake ukinyanyua chuma ukajazia badala ya kuwasisimua wao wanatetemeka;

Kinachofanyika kwa wanawake wengi huwa ni kumzoea mwanamme na kumvumilia lakini siyo kwamba huyo mwanaume anasifa stahiki. No!!

Hata walioolewa kwa kulazimishwa walilia wiki ya kwanza walipozoea wakanyamaza na wapo kwenye mahaba mazito hadi leo (walizoea).

Hata boko haramu walipowateka wale mabinti, baadhi ya mabinti waliobakwa waliwazoea boko haram hadi wakagoma kurudi uraiani tena kwa mahaba! (woman love's none)

Hata hao maprofesa na wanawake wenye hadhi na majina makubwa wanatafunwa na wanaume wakawaida sana siku ukiambiwa hutaamini.

Wanawake kamwe hasa wakiafrika ustarajie hata siku moja waseme, never, kisaikolojia jamii haijawajenga kufunguka, ndiyo maana hata wakipenda huwa hawasemi watajipitisha pitisha tu, wakiwa na nyege hawasemi watajichekelesha tu;

Kwahiyo ustarajie hata siku moja wanawake ukajua wanachotaka constant, bado ni siri,

Kiufupi wanwake wapo kama matairi ya gari ukiyauliza yachague njia utasubiri sana , cha msingi we kanyaga mafuta tembea yanapita njia yoyote alimradi gari isipinduke! Iwe lami au vumbi poa tu, uwe fukala na mwenye pesa zote njia! Cha msingi wanasikiliza maamuzi ya dreva.

Hadi sasa haijagundulika bado mwanamke anapenda mwanaume wa aina gani,

Maana hata tajili wa dunia juzi mwanamke kamuomba talaka waachane!

So men keep trying!!!
Wallah umenena kiongozi….
Hapo kwenye gari kupinduka, ahahahahahaha likipinduka chali matairi yanaenda juu.... haya uchaguzi yaende wapi… inategemea tu gari limepindukaje
 
Kila mwanamke ana kipaumbele chake. Usitegemee eti wanawake wotee wanapende kitu moja tu kwa mwanaume. Kuna wanapenda pesa wengine wanapenda mwonekano wengine akili wengine umaarufu n.k.
Kama mlivyo nyie wanaume, kuna wanaopenda wanawake weupe wengine wanapenda weusi mara wenye misambwanda n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu Ni kwamba mwanamke hata kipaumbele Hana...chunguza sifa za Mwanaume anayempenda halafu kamwangalie mpenzi wake Hahaha ndugu yangu hawa viumbe Ni kucheza na hisia zao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa kwanza wa Mengi ilikuwaje yakatokea yaliyotokea? Mengi hakuwa na Pesa? Tafuta hela utamridhisha externaly … HISIA ZAKE SUBIRI COWBOY WAKO AFANYE MAMBO
Cha ajabu Ni kwamba mwanamke hata kipaumbele Hana...chunguza sifa za Mwanaume anayempenda halafu kamwangalie mpenzi wake Hahaha ndugu yangu hawa viumbe Ni kucheza na hisia zao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua hamna uhakika na mnachokiongelea, au yawezekana hamkijui.
Tofautisheni fantancy na reality.
Au wants na needs.

Mwisho wa siku pesa ni lazima iwepo.
 
Uwepo Wa pesa haujalishi jinsia! nimesema pesa siyo kigezo cha kupendwa; Pesa ni hoja ya kifukara!
Wanaume Wangapi wanapesa Mapenzi yanawatesa?

WOMAN'S LOVES NONE!!!!
 
Kila mwanamke ana kipaumbele chake. Usitegemee eti wanawake wotee wanapende kitu moja tu kwa mwanaume. Kuna wanapenda pesa wengine wanapenda mwonekano wengine akili wengine umaarufu n.k.
Kama mlivyo nyie wanaume, kuna wanaopenda wanawake weupe wengine wanapenda weusi mara wenye misambwanda n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka wanawake wote wafanane, kuwa na sifa unazozitaka na kuzipata ni vitu viwili tofauti.

Unaweza kuwa unataka mwanaume mwenye sifa kadhaa lakini ukija kwa reality ni ngumu mwanaume huyo kumpata hivyo unaamua kucompromise. Saaa hapa ndipo panapoleta shida maana kuna kuridhika na kuna ile "anyway nitafanyaje sasa" hii ya pili ndio shida maana with time utajiona ulisettle for less sasa ili kujazia ndio anajazilizia mziba pancha kama alivyosema mtoa mada.

Ila kuna wanaoridhika kwa vile alivyoamua kucompromise navyo na maisha yanaendelea fresh.
Binadamu siku zote anajitaji kile asichokuwa nacho, akikipata basi anahitaji zaidi ya kile. Hii ni hulka iliyo kwa binadamu wote wa kike na wa kiume. Ndio maana kuna kauli ya "binadamu hajui nini anataka".
 
Uwepo Wa pesa haujalishi jinsia! nimesema pesa siyo kigezo cha kupendwa; Pesa ni hoja ya kifukara!
Wanaume Wangapi wanapesa Mapenzi yanawatesa?

WOMAN'S LOVES NONE!!!!
Je mafukara wanayafurahia mapenzi?
 
Nimegundua hamna uhakika na mnachokiongelea, au yawezekana hamkijui.
Tofautisheni fantancy na reality.
Au wants na needs.

Mwisho wa siku pesa ni lazima iwepo.
Kwa mfano wewe kipaumbele chako ni nini.. Twende kwenye reality tuache nadharia.
 
Wanataka wanawake wote wafanane, kuwa na sifa unazozitaka na kuzipata ni vitu viwili tofauti.

Unaweza kuwa unataka mwanaume mwenye sifa kadhaa lakini ukija kwa reality ni ngumu mwanaume huyo kumpata hivyo unaamua kucompromise. Saaa hapa ndipo panapoleta shida maana kuna kuridhika na kuna ile "anyway nitafanyaje sasa" hii ya pili ndio shida maana with time utajiona ulisettle for less sasa ili kujazia ndio anajazilizia mziba pancha kama alivyosema mtoa mada.

Ila kuna wanaoridhika kwa vile alivyoamua kucompromise navyo na maisha yanaendelea fresh.
Binadamu siku zote anajitaji kile asichokuwa nacho, akikipata basi anahitaji zaidi ya kile. Hii ni hulka iliyo kwa binadamu wote wa kike na wa kiume. Ndio maana kuna kauli ya "binadamu hajui nini anataka".
Huko ulikoenda mbali sana; tujadili nini kipaumbele cha mwanamke JIBU LAKE NI HAKIPO! mwanamke yupo kwa ajili ya kupokea, ni namna tu utakavyomwendea! lakini HAIJADHIBiTIKA Pesa ndiyo kipaumbele;
Anaweza akakukataa wewe mwenye ndinga na akamtunuku mwenye baisikeli trust me
 
Nazungumzia sifa maalum ambayo ipo constantly kwa mwanamke katika kuchagua mwanaume haipo!

Hata wanawake nao hawajui, ukimuuliza mwanamke anapenda mwanaume gani; utasikia; "Oooh mimi napenda, awe na kipara, mrefu wastan, awe na nywele nyingii,kidevu kiwe kimepinda kidogo, mweupe, mcheshi, asiwe na mdomo, awe anajielewa,.......N.K yaani utazani anatoa oda kwa mkaanga chipsi... Hadi akimaliza kukueleza utagundua anaemtaka hayupo

Watu wengi wanafikili pesa ni kipaumbele kwa mwanamke, hapana, kwa taarifa yako hata wenye pesa hupigwa za mbavu vilevile.

Pesa ni silaha ya udhaifu(weakness) lakini siyo kipaumbele rasmi cha mwanamke! Pesa ni udhaifu unaochagizwa na ukata/ugumu wa maisha kwa binadamu mwenye jinsia yoyote lakini siyo kipaumbele cha mwanamke kumpenda mwaname!

Hadi karne ya 21 hakuna tafiti hata moja inayoonesha mwanamke anapenda mwanaume mwenye sifa gani! Hii inadhihilisha kauli yangu kwamba woman is for all; ndiyo maana mwanamke unaweza kumhonga range lover lakini akaja kunipenda mimi ninaemzibia pancha tairi.

Hizo six packs au kunyanyua vyuma napo ni mbwembwe tu za show-off lakini siyo kipaumbele kwa wanawake hata kidogo! Kuna wanawake ukinyanyua chuma ukajazia badala ya kuwasisimua wao wanatetemeka;

Kinachofanyika kwa wanawake wengi huwa ni kumzoea mwanamme na kumvumilia lakini siyo kwamba huyo mwanaume anasifa stahiki. No!!

Hata walioolewa kwa kulazimishwa walilia wiki ya kwanza walipozoea wakanyamaza na wapo kwenye mahaba mazito hadi leo (walizoea).

Hata boko haramu walipowateka wale mabinti, baadhi ya mabinti waliobakwa waliwazoea boko haram hadi wakagoma kurudi uraiani tena kwa mahaba! (woman love's none)

Hata hao maprofesa na wanawake wenye hadhi na majina makubwa wanatafunwa na wanaume wakawaida sana siku ukiambiwa hutaamini.

Wanawake kamwe hasa wakiafrika ustarajie hata siku moja waseme, never, kisaikolojia jamii haijawajenga kufunguka, ndiyo maana hata wakipenda huwa hawasemi watajipitisha pitisha tu, wakiwa na nyege hawasemi watajichekelesha tu;

Kwahiyo ustarajie hata siku moja wanawake ukajua wanachotaka constant, bado ni siri,

Kiufupi wanwake wapo kama matairi ya gari ukiyauliza yachague njia utasubiri sana , cha msingi we kanyaga mafuta tembea yanapita njia yoyote alimradi gari isipinduke! Iwe lami au vumbi poa tu, uwe fukala na mwenye pesa zote njia! Cha msingi wanasikiliza maamuzi ya dreva.

Hadi sasa haijagundulika bado mwanamke anapenda mwanaume wa aina gani,

Maana hata tajili wa dunia juzi mwanamke kamuomba talaka waachane!

So men keep trying!!!

IMG_1717.JPG
 
Huko ulikoenda mbali sana; tujadili nini kipaumbele cha mwanamke JIBU LAKE NI HAKIPO! mwanamke yupo kwa ajili ya kupokea, ni namna tu utakavyomwendea! lakini HAIJADHITIKA Pesa ndiyo kipaumbele;
Anaweza akakukataa wewe mwenye ndinga na akamtunuku mwenye baisikeli trust me
Endeleeni kujidanganya.
 
Back
Top Bottom