Wanawake hawa ndiyo wanawake bora kabisa kwenye ndoa zao

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nilidhani mwanamke bora ni yule anayejistiri, anavaa vizuri, siyo muongeaji, ni mcha Mungu kwa nje.

Kilichonipata mimi hakika nakiri leo kuwa mwanamke bora ni yule wa Instagram tu, hawa wanajua kutulia na wanaume wao ukiwachukulia serious na wana misimamo kwenye ndoa zao hawadanganyiki kirahisi.

Tofauti na hawa tunaowaona ni wacha Mungu kumbe ndiyo hatari kwa afya zetu.
 
Kuna mtu kashadondokewa na kitu kizito huko. Tuzidishe maombi kuelekea mwisho wa Mwaka
 
Ninao wajua wakiwa dada zangu wanaojistiri wengi ndoa zao ni miaka 10 na kuendelea ..Niliosomq nao wengi waliolewa sijwai kusikia wakiachwa wale walikuwa top wacha mungu kwa dini zote Tena wanavaa vizuri hata wanapoenda kuimba kwaya , wengin Wana vitengo kanisani ..

Hakuna ndoa ya mwanamke anayevaa ovyo ikadumu daima kama zipo 10 basi ni 1.

Acha kupotosha watu angalia kwanza Avatar yako utajua akili yako ilikimbilia nn?
 
Nilidhani mwanamke bora ni yule anaye jistiri anavaa vizuri sio muongeaji ni mcha Mungu kwa nje
Kilicho nipata mimi hakika nakiri leo kuwa mwanamke bora ni yule wa instagram tu hawa wanajua kutulia na wanaume wao ukiwachukulia serious na wana misimamo kwenye ndoa zao hawadanganyiki kirahisi
Tofauti na hawa tunao waona ni wacha Mungu kumbe ndo atari kwa afya zetu
Mzee ushapigwa? tafuta kamba za ukichaa kabla sijaja kukubeba.. (jokin)
 
Cku hz WANAUMEE tumekuwa maboya sana zaidi ya dada zetuu,,,kilaaa ckuu kujilizaa kuhusu wanawakeee aisee tunafeli sana kisaa kuliliaa nyapu..
 
Back
Top Bottom