Wanawake hawa hawapo location,wapo kazini reality

Binaadamu sasa hivi wameamua kwenda against na maandiko, yaani ukikataa kuzaa kwa uchungu lazima ule kwa jasho, ila wengine ndio wanakomaa na vyote ni mwendo wa kula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu.
 
Binaadamu sasa hivi wameamua kwenda against na maandiko, yaani ukikataa kuzaa kwa uchungu lazima ule kwa jasho, ila wengine ndio wanakomaa na vyote ni mwendo wa kula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu.
kwa wakristu hakuna sehem ilipoandikwa kuwa mwanamke asile kwa jasho kwa kuwa anazaa kwa uchungu. Biblia hiyo hiyo inamuona mwanamke mpambanaji kama mke mwema SOMA MITHALI 31:10-31.

Hadi hapo hakuna kilicho kinyume na maandiko
 
Bahati mbaya kwao hawajui kupiga vizinga vyenye kudhalikisha utu wao.

Ni raha sana kumwandalia zawadi na suprises mtu kama huyu.
 
images (43).jpeg
 
Back
Top Bottom