Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Ndo uanaume, mvaa sana na mjipodoaji sana huwaza kuvutia tu, wakati mvaa kawaida huwa bize na kubeba na kutimiza majukumu, wavulana ndo hujipodoa, wanaume tunawaza meeeengi ntapata wapi muda wa kukaa kwe dressing table
Aah sana, huo muda wa kujipara ni wa vijana wauza sura
 
Mwanaume mwenye sura mbaya siwez jamani. Unaweza ukawa na sura ya ancestor wako ila unajua kuvaa na hela unayo na akili ipo ipo kidogo naweza kukaa. Wanaume wenye sura mbaya afu hela hawana siwezi na sitaki wanipitie mbali kabisa. Mi sio mbaya kwanini nibebe mtu mbaya ikatokea nimenasa bahati mbaya nianze kupata mawazo mwanangu atakuaje inahusu??
Taratibu dada hata sisi binadamu tumeumbwa na Mungu huyo huyo.
 
Miss chaga njoo huku umwambie Mdogo wako wanawake wanataka nn sio kwa hili aliloandika
 
Rudia kusoma uzi upya
Kwa utulivu
Nadhani nimeusoma vyema!!si kwamba nipo upande wa hao wapiga pamba la hasha!!ila nasema kuvaa kwa mwanaume inategemea na shughuli anayofanya!!

Wengi wanaojipodoa podoa n wasanii wana wanawake wanaopenda watu wa design hiyo!!Kila mwanamke ana aina ya mwanaume anayemtaka.

My point is kupiga pamba na kunukia haina uhusiano na kumridhisha mtu kitandani!!Wapo wwnye sura kauzu lakini maboya.
 
Mimi naona kuna vitu umevieleza sawa!!ila vingine vinaleta ukinzani.Mwanaume asipake deodarant kuna anayevuja jasho je shati lake liweke majasho kwa kwapa ndyo anavutia!!
Point ingekuwa wafanye kwa kiasi...isipitilize kama ulivyoeleza.Ila mifano yako sikubaliani nayo.
 
Mbona aaahgggghhh,wanawake wengine utasikia napenda mwanamme anaejipenda na kupiga pamba!!sasa na wewe Mara sijui hivi jamani ehee
 
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?
Imenifikirisha sana hii ya "KAMA MUNGU HAKUWARIDHISHA, JE SISI WANAUME NDIO TUTAWARIDHISHA?"

Kumbe ndio maana minywele bandia, rangi bandia, boots bandia na hata akili siku hizi wengi wanazipata salon!
 
Nahisi una mimba si bure. Mana mwanamke akiwa na mimba hata arufu ya petroli kwake arufu safii na arufu ya pafyumu ikawa Keri kwake
Naona hii post inakuhusu sana. Yaani wewe ni mmoja wa wauza sura wa mjini. Bila mimba usingezaliwa licha ya matatizo wanayopata mama zetu. Kwahiyo tuwe na heshima kwa waliotuzaa please?
 
Back
Top Bottom