Jackline Bahath
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 681
- 627
Yamekuwa hayo tena!?๐๐ ndo tunafanyaje ss ktk hiloBasi kuanzia leo mimi na wewe kwa pamoja naomba tuonyeshe juhudi na kuwathibitishia wana Jf kua ni kweli maendeleo hayana chama.
Yamekuwa hayo tena!?๐๐ ndo tunafanyaje ss ktk hiloBasi kuanzia leo mimi na wewe kwa pamoja naomba tuonyeshe juhudi na kuwathibitishia wana Jf kua ni kweli maendeleo hayana chama.
๐๐๐We we tongoza maswali ya nn
Asalaaam,
Simaanishi kila unapotongoza lazima ukubaliwe, hapana! Ila nyie tunaowatongoza hata kama mnatuchukulia vikatuni, viboya na viwehu mjitahidi japo kuthamini muda wetu wa kukaa na kuwafikiria.
Unajua kutongozwa ni baraka? Hadi mtu kakaa chini kakufikiria weee mwisho kaona niende ujue yamemfika shingoni.
Niwashauri muwe mnaenda mbali ukimkataa mtu mwambie sababu ya kumkataa na mshauri cha kufanya. Sio unamkaushia asijue shida nini.
Kama tulishatongozana PM ukanikataa hapa ubaki kimya.
Si mimi na wewe tunaziungnisha juhudi zetu mpk zigusane ili kuonyesha msisitizo kua wenyekiti alichokisema ni ukweli mtupu usio na shaka hata kidogo.Yamekuwa hayo tena!? ndo tunafanyaje ss ktk hilo
K matata pamoja na uzee wote ulionao bado tu unapenda kutongozwa?Baba yeyooo
Daby.....
Asheeenaaaleeek
Takwiinyaaa
Habariiinyooo
Laiguanan. ..... hii nakubali nimefeli. .....
Mie napenda sana kutongozwa ila mitongozo ikiwa mingi huwa nakaa kimya she tano kigumu apite ubaki mtongozo mmoja kisha naendelea.
Sawa bossSi mimi na wewe tunaziungnisha juhudi zetu mpk zigusane ili kuonyesha msisitizo kua wenyekiti alichokisema ni ukweli mtupu usio na shaka hata kidogo.
Zidumu fikra za kiongoziSawa boss
Haya fanya ukuje pm kabla gurudumu la maendeleo halijakutupa mkono.Sawa boss
HahaahahaHaya fanya ukuje pm kabla gurudumu la maendeleo halijakutupa mkono.
Kesho boss,niko.na usingz snHahaahaha
Uko fasta
Hahaahaha
Uko fasta
Ulale uonono mpenda maendeleo mwenzangu.Kesho boss,niko.na usingz sn
Hahahaahaa sio kweli banaaa mbona mi wa kawaida sana
Ila kwa jicho sio wewe wa kwanza kunisifia lkn mbona nikijitazama kwenye kioo mi naona ni la kawaida tu.
Ila nyie wanawake mnamambo sana kwa hio hili jicho peke yake ndio linalokufanya mpk chini kulowane?
Lkn hata wewe mashaallah yaliyomo yamo mi mwenyewe hua nnapenda kila nikipita hapo niwe nakuonaona mrembo.
Safari hii nkikuona hapo lzm nikuite ili tuangalie namna gani tunaweza kumuunga mkono mwenyekiti si unajua tena yeye mwenyewe alishasema kua maendeleo hayana chama.
๐๐๐๐๐๐๐bwana ww mbn hivi lakini๐๐๐๐naanguka kicneko mie hapa khaa
Ukiwa ni mpenda maendeleo lzm uwe unakwenda na muda.
Unafikiri tukizubaa zubaa tz ya viwanda itapatikana Vipi?
๐๐๐๐๐๐Wanaume wengi wanaokataliwa ni maboyaโฆ.ebu jiulize unaenda tongoza mwanamke anayejitambua kwa mapozi ya kibongo fleva huku umepaka lip stick, umevaa hereni, umesuka nywele, na baadhi ya kucha umepaka rangi na kuvaa kata kundu (mlegezo), hivi hapa mtu ukikataliwa ni kosa kweli? Mwanamke anatafuta rijali si hanithi (hanisi), au wewe mwanamme utajisikiaje ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke anayefanana na mwanamme mwenzako, utapata stimu kweli?
Wala sio ya nyegezi mkuu,wala sio supahendsam,ila nikiongea ukanasikiliza kuna mawili eidha utashawishika ama utanionea huruma.Yani ukitaka kwenda kuomba mkopo mahali ukienda na mimi alaf nikakusaidia kuongea hukosi mkopo.
Ningekuwa mwanasiasa saizi ningekuwa mbunge ama katibu mwenezi.
Wanaume wengi wanaokataliwa ni maboyaโฆ.ebu jiulize unaenda tongoza mwanamke anayejitambua kwa mapozi ya kibongo fleva huku umepaka lip stick, umevaa hereni, umesuka nywele, na baadhi ya kucha umepaka rangi na kuvaa kata kundu (mlegezo), hivi hapa mtu ukikataliwa ni kosa kweli? Mwanamke anatafuta rijali si hanithi (hanisi), au wewe mwanamme utajisikiaje ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke anayefanana na mwanamme mwenzako, utapata stimu kweli?