Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

Baba yeyooo

Daby.....

Asheeenaaaleeek

Takwiinyaaa

Habariiinyooo

Laiguanan. ..... hii nakubali nimefeli. .....

Mie napenda sana kutongozwa ila mitongozo ikiwa mingi huwa nakaa kimya she tano kigumu apite ubaki mtongozo mmoja kisha naendelea.
 
Asalaaam,

Simaanishi kila unapotongoza lazima ukubaliwe, hapana! Ila nyie tunaowatongoza hata kama mnatuchukulia vikatuni, viboya na viwehu mjitahidi japo kuthamini muda wetu wa kukaa na kuwafikiria.

Unajua kutongozwa ni baraka? Hadi mtu kakaa chini kakufikiria weee mwisho kaona niende ujue yamemfika shingoni.

Niwashauri muwe mnaenda mbali ukimkataa mtu mwambie sababu ya kumkataa na mshauri cha kufanya. Sio unamkaushia asijue shida nini.

Kama tulishatongozana PM ukanikataa hapa ubaki kimya.

Wanaume wengi wanaokataliwa ni maboyaโ€ฆ.ebu jiulize unaenda tongoza mwanamke anayejitambua kwa mapozi ya kibongo fleva huku umepaka lip stick, umevaa hereni, umesuka nywele, na baadhi ya kucha umepaka rangi na kuvaa kata kundu (mlegezo), hivi hapa mtu ukikataliwa ni kosa kweli? Mwanamke anatafuta rijali si hanithi (hanisi), au wewe mwanamme utajisikiaje ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke anayefanana na mwanamme mwenzako, utapata stimu kweli?
 
Baba yeyooo

Daby.....

Asheeenaaaleeek

Takwiinyaaa

Habariiinyooo

Laiguanan. ..... hii nakubali nimefeli. .....

Mie napenda sana kutongozwa ila mitongozo ikiwa mingi huwa nakaa kimya she tano kigumu apite ubaki mtongozo mmoja kisha naendelea.
K matata pamoja na uzee wote ulionao bado tu unapenda kutongozwa?
 
Hahahaahaa sio kweli banaaa mbona mi wa kawaida sana
Ila kwa jicho sio wewe wa kwanza kunisifia lkn mbona nikijitazama kwenye kioo mi naona ni la kawaida tu.
Ila nyie wanawake mnamambo sana kwa hio hili jicho peke yake ndio linalokufanya mpk chini kulowane?
Lkn hata wewe mashaallah yaliyomo yamo mi mwenyewe hua nnapenda kila nikipita hapo niwe nakuonaona mrembo.
Safari hii nkikuona hapo lzm nikuite ili tuangalie namna gani tunaweza kumuunga mkono mwenyekiti si unajua tena yeye mwenyewe alishasema kua maendeleo hayana chama.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nimekosa usingiz nakutana na comment yakituko hahaha mm hyo sentensi ya mwisho ht km naumwa nikiiona lazima nicheke kwa hasira aisee hahhaha!karibu kwenye kuunga juhudi mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Š
 
Ukiwa ni mpenda maendeleo lzm uwe unakwenda na muda.
Unafikiri tukizubaa zubaa tz ya viwanda itapatikana Vipi?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚bwana ww mbn hivi lakini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚naanguka kicneko mie hapa khaa
 
Wanaume wengi wanaokataliwa ni maboyaโ€ฆ.ebu jiulize unaenda tongoza mwanamke anayejitambua kwa mapozi ya kibongo fleva huku umepaka lip stick, umevaa hereni, umesuka nywele, na baadhi ya kucha umepaka rangi na kuvaa kata kundu (mlegezo), hivi hapa mtu ukikataliwa ni kosa kweli? Mwanamke anatafuta rijali si hanithi (hanisi), au wewe mwanamme utajisikiaje ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke anayefanana na mwanamme mwenzako, utapata stimu kweli?
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Wala sio ya nyegezi mkuu,wala sio supahendsam,ila nikiongea ukanasikiliza kuna mawili eidha utashawishika ama utanionea huruma.Yani ukitaka kwenda kuomba mkopo mahali ukienda na mimi alaf nikakusaidia kuongea hukosi mkopo.

Ningekuwa mwanasiasa saizi ningekuwa mbunge ama katibu mwenezi.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Škwa lugha nyingine ww mwongo mwongo!saafi sana !
 
Wanaume wengi wanaokataliwa ni maboyaโ€ฆ.ebu jiulize unaenda tongoza mwanamke anayejitambua kwa mapozi ya kibongo fleva huku umepaka lip stick, umevaa hereni, umesuka nywele, na baadhi ya kucha umepaka rangi na kuvaa kata kundu (mlegezo), hivi hapa mtu ukikataliwa ni kosa kweli? Mwanamke anatafuta rijali si hanithi (hanisi), au wewe mwanamme utajisikiaje ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke anayefanana na mwanamme mwenzako, utapata stimu kweli?

au umekaa na men muda woote analamba lips tu..cha!
 
Uko obsessed na wanawake lol

nikuambie tu,the moment umekutana na mwanamke,kabla hujamtongoza anajua kama amekupenda au la!..kutamka maneno/kutongoza ni final,,,lla decision akusikilize au akupotezee ni jambo linatokea naturally before kutongoza....
 
Back
Top Bottom