Wanawake Dodoma waingiliwa kimuijiza: Kama hujafikwa kaa chonjo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake Dodoma waingiliwa kimuijiza: Kama hujafikwa kaa chonjo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Next Level, Apr 17, 2009.

 1. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC1 ya juzi tar.14 April 09, kijana mmoja mwenye umri wa miaka 19 pamoja na mama yake mzazi walikuwa wanashikiliwa na polisi mjini Dodoma kwa kosa la kijana huyo kufanya mapenzi na wake za watu pamoja na mabinti wengine kwa kutumia njia za kishirikina.

  Kijana huyo ambaye ni mkazi wa kijiji fulani huko Dodoma alikamatwa jumatatu ya wiki hii kwenye nyumba ya mwanakijiji mmoja akiwa katika harakati za kufanya mapenzi na mke wa nyumba ile na wenye nyumba kumkamata kabla hajakamilisha zoezi lake. Na baada ya hapo kumpa kipigo kikali sana then kumpeleka kituo cha polisi dodoma.

  Akitoa maelezo pale kituoni, kijana huyo alikiri kuwa mzoefu wa zoezi hilo na kwamba alipewa dawa ya mapenzi na mama yake mzazi iliyomwezesha kufanya mapenzi na mwanamke yeyote yule hata bila ridhaa yake huyo victim. ''Kama namtamani mwanamke au msichana halafu nikiona siwezi kumtongoza au akigoma, basi nachukua dawa mkononi naenda nyumbani kwao nikifika mlangoni naionyesha halafu mlango unafunguka, naingia ndani bila ya wao kuniona, halafu naenda kwa mwanamke ninayemtaka, namgonga namgonga,namgonga nikimaliza natoka'' mama mazazi alipoulizwa na polisi kuhusu kumpa dawa hiyo mtoto wake, alikataa katu katu. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kijana huyo amepewa jina la Gonga gonga kijijini pale.

  Nimejaribu kureproduce niliyosikia TBC1 so yanaweza yasifanane kidogo na taarifa original. Mliopo karibu na eneo lilipotoke tukio hili mnaweza kutupatia picha nzuri.

  Lakini ambacho nashindwa kuelewa ni;

  1. Hiyo dawa yake in nguvu kiasi gani kumwezesha kufanya mapenzi kimiujiza vile na victims pamoja na jirani zake wasishituke au wasimwone? au wale victims nao wanaamini mambo hayo ya kishirikina? Je, dawa ile ingewezafanya kazi hata kwa waliookoka or swala tano na watu walio wa Mungu kwa ujumla?

  2. Kwa nini dawa kama hizi hazitusaidia katika kuboresha sayansi na technolojia ili itupe maendeleo zaidi, why can't we research further kuona kama inaweza kusaidia kuleta maendeleo baadala ya maangamizo tu?

  3. Je, kijana huyu kama itabidi ashitakiwe, atashitakiwa kwa kosa gani hapa? Kwa ushahidi ni upi?

  Haya mambo ya kishirikina huwa tunayapuuza wakati mwingine lakini ukweli ni kuwa mambo haya yapo na yanaathari kubwa sana kwa jamii yetu, likiwemo hili la kuwafanya wanawake bila ridhaa yao na mauaji albino.


  Cheers
   
 2. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Lol anatumia condom?

  wewe ukiipata dawa hii nani wa kwanza utamjaribia? mimi Kim k
   
 4. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mimi moja kwa moja State House, pale Kivukoni.
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,659
  Likes Received: 21,876
  Trophy Points: 280
  Mwanjelwa unamfahamu Nguza Viking? Muziki wake ulikuwa mzuri? kwi kwi kwi!
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  eeeh iam out
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Heshima mbele mkuu,
  Samahani kama nitakuudhi lakini aina hii ya utani aint funy kwani una hurt feeling za watu, najua kuna watu watarukia kusema ninaingilia uhuru wako lakini kama wewe ni mwafrika na mtanzania just think hapo ur insulting some one's mom. Kwani kulikuwa kuna ulazima gani wa kumtukana mama mzima yule, hata kama ni personal issue hapa ni forum ya wazi kwa watu wengine post yako imetukwaza sana.
   
 9. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Yes. Umeongea points sana na umeelewa hiyo post yangu vizuri sana. Point ni kwamba huwezi sikia hivi vitu sehemu kama hiyo! Ni huko mitaani tu. Je, ina maana wachawi wanachagua watu au sehemu ya kuwanga? Vitu kama hivyo havipo na ni vya kufikirika tu!!.
   
  Last edited: Apr 17, 2009
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Walah ningekuwa na hiyo dawa ningekuwa namalizana na visura hata ndani ya daladala maana siku hizi pesa imekuwa shida na rushwa ktk masuala ya ngoni imependa bei nadhani Mtikisiko wa uchumi umechangia....
  Mwenye dawa tafadhali ailete
   
 11. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135


  Mwanjelwa unasema nivyakufikirika kivipi, wakati Gongagonga anakiri kufanya mapenzi na wanawake na pia victims wanakiri kufeel being done?
   
 12. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wa kwanza kumjaribu MY WIFE!
   
 13. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa ubakaji huo tutafika? Je kwa mtindo huo haiwezekani mtu akapewa ukimwi bila yeye kujua. Au kijana huyo huwa anatumia kondomu au kinga? Dunia sasa imekwisha.
   
 14. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ....teh teh teh!! Boy! You have really, really, really, made my day!!!!: :D
   
 15. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Dont be too serious, Man! All the Jokes in the World are against someone's Dad or Mum, Son or Daughter, Wife or Husband! Just smile and bear it! Come on now, show us your smile....There you are!!!
   
 16. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tena ukizingatia wanaofanywa huwa wanafeel kufanywa ila anaye wado huwa hawamwoni......lazima kama ana ngoma, takuwa kaambukiza wengi!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu huyu anaingia peku peku na anakuwa mtupu habebi kitu.
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha sana. Kwamba wakati vijana wenye umri wake (19years) wanahaha kutafuta nafasi za kuingia Harvad au Oxford yeye anahangaika na ngono. Huyo sina hakika kama na malengo ya kuona zaidi ya birthday yake ya 30! Shida kubwa ni kuwa hao wahanga wanaweza kuambukizwa VVU.
   
 19. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ina maana hakuna wadau waliokaribu na kijiji ulipotoke mkasa huu? mbona kimya hivyo, hatuna wadau huko Dodoma hapa jamvini nini?
   
 20. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Uchumi wa dunia umeyumba ni muda wakufikiri na kuinua uchumi wetu sio kungonoana.
   
Loading...