Wanawake be independent, maumivu ni kwa wenye cheap girls dreams

Those guys were matching fine ila chokochoko tu za mkwe!

Wanaume saa ingine yu need to play very smart linapokuja suala la mahusiano na huku ukijua una wazazi wenye gubu...yu must choose your spouse over everything kwa sababu at the end of the day kila mwanamke atakuogopa kwa ajili ya gubu la wazazi wako...kuna stage ikifika yu have to stand still katika kufanya maamuzi na sio kila kitu kufanyiwa maamuzi na mama yako..it take a gentleman to understand this..
 
Wakati unazungumza hilo try me uone kama ni pata potea. Not all fellaz aren't serious, tupo ambao tunaweza settle kupeana good time kama zote na wapenzi wetu. No cheating...amani tu! Strictly for grownfolks!!!
Hahahaha let me try , mchakato uanze lini
 
Huwa sielewi hii notion kwamba sisi wanaume wenye ukwasi hatuna mapenzi ya kweli ilitokea wapi?

Kwamba mapenzi ya kweli yapo kwa maskini tu, sisi ambao tushatusua maishani hatuwezi kupenda.

Dada zangu, bora ulie machozi ndani ya gari kuliko kwenye baiskeli. Tafuta mtu mwenye mpunga na mapenzi.
Umeongea ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume saa ingine yu need to play very smart linapokuja suala la mahusiano na huku ukijua una wazazi wenye gubu...yu must choose your spouse over everything kwa sababu at the end of the day kila mwanamke atakuogopa kwa ajili ya gubu la wazazi wako...kuna stage ikifika yu have to stand still katika kufanya maamuzi na sio kila kitu kufanyiwa maamuzi na mama yako..it take a gentleman to understand this..
Hahah i feel yah. Something that needs to be addressed as early as the love grows. Nashukuru mungu i was raised to be a confident real man.
 
Back
Top Bottom