Wanawake be independent, maumivu ni kwa wenye cheap girls dreams

Link na mwanaume anaeanza kujijenga umsome vyema as long as ana adabu na anakuthamini mpende taratibu huku unasoma mapungufu yake
Hakuna cha anayeanza kujijenga wala nini,wote ni matatizo tu siku hizi mapenzi ni pata potea, unapofikiri umepata kumbe umepatikana
Wakati unazungumza hilo try me uone kama ni pata potea. Not all fellaz aren't serious, tupo ambao tunaweza settle kupeana good time kama zote na wapenzi wetu. No cheating...amani tu! Strictly for grownfolks!!!
 
Kuwa independent unakuwa huru kwa kila jambo hata mwanaume wako anakuheshimu shida sasa uwe huna mbele wala nyuma mwanaume anakuumiza atakavyo yeye. Wanawake tubadilike tusitegemee miteremko ya maisha ina high price Ku pay

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe upo hivyo lakini ukiamua kujitoa ufahamu unakuja kutuchambaaaa weeee mpaka tunajiona tupo uchi.
 
Mimi miaka ya 209 niliachwa kisa mwenye magari na nyumba kachumbia, na kwao na mwanamke nao wakatoa maneno ya kashfa dhidi yangu kua uyo ni masikini atakuaribia maisha, lkn Mungu aliyapindua matokeo, Leo hii Aibu wanaona wao. Binti nae anajuta kunikacha kipindi kile tukikutana anaona aibu hta kunisogelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maisha yalivyo, wanaokudharau leo siku moja watakusalimia kwa heshima! Huu msemo una uhai sana man.
 
Independence isnt always the answer...Ask Zari lol..
Huu mchezo ni pata potea
Kuwa independent na adabu, blend them together uwe independent mwenye hekima. Not about bossing around your man kwa kuwa unazo hela...I think Zari aliteleza hapo!
 
Kuwa independent na adabu, blend them together uwe independent mwenye hekima. Not about bossing around your man kwa kuwa unazo hela...I think Zari aliteleza hapo!
Zari bossing around Dai..mnamuonea bureee dada wa watu..
Dai hajaamua kutulia
Kama mwanaume hajaamua kutulia mwanamke hata uwe bikra maria haisaidii
 
Back
Top Bottom