Wanawake bana!

bia

JF-Expert Member
Feb 9, 2011
257
29
Heshma kwenu.

Hivi mwanaume umekaa bar na mpenzi wako unakata kiroba nae anapga sodabanakuja kidume mwingne anakata serengeti bt kila dakika mchumba wako anatoa jicho kwa mshkaji,kila akicheka anamtizama mshkaji.

Hivi we mwanaume unafanyaje?
 
Kulaleki it means wewe sio type yake

Anamzimia huyo jamaa wa serengeti
 
Heshma kwenu..ivi mwanaume umekaa bar na mpenz wako unakata kiroba nae anapga soda..anakuja kidume mwingne anakata serengeti bt kila dakika mchumb wako anatoa jicho kwa mshkaji,kila akicheka anamtizama mshkaji..iv we mwanaume unafanyaje?

pipo lyk u are the reason why do we have middle finger.....
 
Kulaleki it means wewe sio type yake

Anamzimia huyo jamaa wa serengeti

Huko si kuzimia aisee, imagine ndo kamuona, thats too much tamaa!

Kama ni mimi, nakugeuzia kiti kabisaa ili muangaliane, mkonyezane nk!

Mi nna yangu tu.. baada ya hapo, kila mtu abebe njia yake kabisaa na tusikutane tena!
 
Unaagiza Serengeti na wew, utakunywaje kiroba uko na dem wako? ndo maana kamuangalia mwingine
 
nimekukubali wengne wanaponda 2 hawaijui hali na shda maani n

hope ushaondoka hilo eneo
mimi si tolerate uzembe my nigga know that haaha will broke that bitch ass in no minute i dont tolerate bitches kabisa

ila kama huna ubavu ondoka
 
Heshma kwenu..ivi mwanaume umekaa bar na mpenz wako unakata kiroba nae anapga soda..anakuja kidume mwingne anakata serengeti bt kila dakika mchumb wako anatoa jicho kwa mshkaji,kila akicheka anamtizama mshkaji..iv we mwanaume unafanyaje?

Na wewe unaanza kumchekea huyo mshikaji,kwani shilingi ngapi?
 
hakuna lolote ukute labda anachotamani huyo mwanamke wako ni hiyo serengeti anaogopa tu kukwambia

mnunulie uone kama hajaanza kukuchekea wewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom