Wanawake bana!

Huko si kuzimia aisee, imagine ndo kamuona, thats too much tamaa!

Kama ni mimi, nakugeuzia kiti kabisaa ili muangaliane, mkonyezane nk!

Mi nna yangu tu.. baada ya hapo, kila mtu abebe njia yake kabisaa na tusikutane tena!

Ha ha mtaachana kila mtu na njia yake kama sio mkeo or huna future nae..je akiwa ni mkeo?

Huyu mwanamke ni kweli too much tamaa na jamaa sioni sababu ya kuendelea nae
1: huenda kaona jamaa anakunywa serenget wangu kiroba means mpenda pesa huyu

2:kataman physical appearance six packs while wake hana

Just imagine wapo wote je kama asingekuwepo huyu jamaa angepewa papuchi bila kutongoza .
 
kuna wadau wametoa maoni kulingana na hali ya maisha ye2,iv unathan nakunywa kiroba coz napenda?yamenitokea na ni kweli,nimemuaga 2 kiupole nimeenda kujiua pengne
 
Huyu jamaa kashalewa hadi anaongea kujiua
R.I.P bia
 
Last edited by a moderator:
Ondoka hiyo sehemu kwani ukifika home, mazaa atakuuliza kisa cha weye kujiua wakati wengine wanarepea mawazo kwa sengereti.
Huoni aibu kujidhalilisha hivyo??? Beba roba zako kanywee kwenyu kabisaa hata leo usimguse kabisaa. Dume zima unamtoa mazaa out ukamnweshe soda na weye ule roba. Kweli uungwana umekwisha
 
Heshma kwenu..ivi mwanaume umekaa bar na mpenz wako unakata kiroba nae anapga soda..anakuja kidume mwingne anakata serengeti bt kila dakika mchumb wako anatoa jicho kwa mshkaji,kila akicheka anamtizama mshkaji..iv we mwanaume unafanyaje?


Mi nampa hongera my Heaven on Earth kwani najuwa atakuwa ana wasiwasi na huyo jamaa kuja kuburudika nasi ili apate ofa ya bure huku akiongea utumbo na umbea usio na kichwa wala miguu. Wanawake wana ile kitu inaitwa natural instinct wanapenda kusoma marafiki za waume zao hivyo sitakuwa na wasiwasi naye ila kama kuna issue najuwa Heaven on Earth hatoweza kunificha mie mpenzi wake.
 
Sometimes hupaswi kuwa na hisia kama hizo it can be amemfananisha lakini kwa social person kama Mimi namuuliza wife""mbona macho kwa jamaa Ili kama anapata mshawasha tusepe.au unamzingua kidizaini.
 
Heshma kwenu..ivi mwanaume umekaa bar na mpenz wako unakata kiroba nae anapga soda..anakuja kidume mwingne anakata serengeti bt kila dakika mchumb wako anatoa jicho kwa mshkaji,kila akicheka anamtizama mshkaji..iv we mwanaume unafanyaje?

Sa kwa akili yako hii ambayo haiwezi kuelewa ufanyaje kwa jambo dogo ka hili, mwanamke huyo uliyenaye akushobokee kwa lipi?
 
Serikali ipige marufuku viroba vinatuaribia Nguvu kazi ya taifa ndo mana watu wanatumia akili ya viroba kuleta mada humu jamvini
 
ebwanae nifundishen namna ya kumove ama kudelete mada bs mana nishapewa vidonge vya kutosha natumia cmu ya nokia
 
Back
Top Bottom