Wanawake bana wanajua kucheza na hisia za Watu. Mtaua watu na presha

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Mahusiano yana mambo mengi sana. Ila kati ya watu ambao wanaona Kama hisia ni zao pekee yao ni wanawake wao wanahisi hisia wanazicontrol wao.

Wanawake wana mambo ya ajabu kwenye mahusiano. Mwanamke anaweza kukupenda kabisa kutoka moyoni Ila akajidai hakupendi eti mpaka umtongoze au wewe ndo uanze kumwambia unampenda.

Hata ukishamwambia licha ya kuwa anakupenda na yeye Anaweza kukwambia nipe muda ilimradi tu aone uvumulivu wako ukoje..
Akiona we mvimulivu basi unakuwa umepita mtihani wake wa yeye kukukabidhi moyo wake.

Wakati mwingine eti unakuta unampenda mdada lakini ukimwambia nakupenda anakwambia eti your my friend siwezi Ku fall in love na wewe.Jamani kwani imeandikwa wapi Friends don't fall in love. Yaani we umekufa umeoza kwake Ila anakuona kama rafiki yake inauma Sana eeh!

Wakati mwingine unaanza mazoea naye anakuonesha upendo kabisa mnazoeana,kiasi cha kukaa pamoja kupiga stori za faragha yaani zaidi ya upendo we unajua ushauteka moyo wake kumbe wala anachezea tu hisia zako.

Wanawake wanaweza hata kupinga kama wataziteka hisia zako basi na wewe unadhani unapendwa kumbe hata ukiondoka ni kicheko na mashoga zake.Wanakuchora tu.

Wakati mwingine unampenda mdada Una nia ya kumuoa kabisa unafika mahala anakwambia hayuko tayari kuolewa.Unatamani hata ulie Ila unajikaza.
 
Mm nliambiwa 'nimekukubali 7bu mama yako amefariki, hvy utakuwa unaniita mama ukipenda'

Shukra, nmekumis kukuona.
 
Principal ni moja ukitaka uwale mpaka uchoke.

Usiwe na time na mtu kama ni chuo au ofisini ww ni Kimya, usiwe na story naye ata kumpa hai hakuna akileta shobo mistari
Analiwa mwingine ivo ivo unawez ukawala mpaka uchoke.
 
Principal ni moja ukitaka uwale mpaka uchoke.

Usiwe na time na mtu kama ni chuo au ofisini ww ni Kimya, usiwe na story naye ata kumpa hai hakuna akileta shobo mistari
Analiwa mwingine ivo ivo unawez ukawala mpaka uchoke.
Hawa vijana wanaleta mapenzi ya kwenye muvi, kila kitu wajuaji na miosho mingi ndipo wanapofeli.
 
Back
Top Bottom