Wanawake au wanaume mliowahi kutongoza mlifanyaje mlipokataliwa?

Hahaha inategemea na mwanaume, kama mm binafsi najiheshimu na nina mipaka, siwezi lala na kila mwanamke anaenitaka, hata mdada akinivamia chumbani avue nguo zote Abaki uchi, kama simtaki, nitaishia kumkimbia, kuna baadhi ya wadada walinioneshaga ishara kuwa wananitaka kingono, niliijua nia yao, ila mm nilijifanya sielewi wanachomaanisha..bhasi baada ya muda, Baadhi ya wadada waliokuwa wananitaka, wanaishia kunichukia kisirisiri Dinazarde
Blaza utakua na matatzo kwenye mifumo yako sio bure.
 
Hahaha anaweza kukuanza vilevile badae ukifall na kumpenda sana anakufanya ATM pia .

Ila kiukweliii, when you are truly in love with a person hata mizinga mizinga ya ajabu humpigi .Ila sasa kule kwingine unapiga tu mizinga ili mradi muachane .
Likewise hata kwa wanaume pia ukipenda mtu hata Sex hatudemand sana lakini kwa madem wengine ambao hatujawapenda kila weekend ni MOTO
 
kuna manzi ni zaidi ya week mbili sasa namuhaingaikia......ananiringia sana aisee daaahhh.......
Life is too short usilielie sana kama amechomoa kias hcho Chill fanya inshu zako achana nae sio kila mwanamke atafaa kuwepo kwenye memory yako.
 
Haha sio dharau, kuna baadhi ya wadada hapana kwakweli, unakuta mdada Ana sura ngumu looh, hlf kapigwa pasi, mm nikikaa na wadada wenye sura ngumu kwenye siti moja ya basi la mikoani, nakaushaga kimya, sinaga time nao to yeye
 
Me niliumia Sana
Ikapelekea Hadi kukata tamaa yakutongoza
Siyo Siri mademu wengine wanamajibu mabaya na kukatisha tamaa
 
Kama ilivyo ada ni swala la kawaida kwa karne ya 21 watu kutongozana msela au mtoto mzuri anakufata na kukuambia anakupenda anahitaji kuwa muwe wapenzi, Pale ikitokea mtu ambae unamtaka muwe katika mapenzi kwa kua unampenda akakukataa huwa unafanyaje???

hqdefault.jpg
Mtongoze rafiki ake au mdogo wake Kama anae
 
Sikumbuki kumkula dem aliyeniaproach kwani wengi wao walikuwa hawalipi isipokuwa wawili (wazuri) ambao tulikuwa na undugu kwa mbali kidogo - lakini kwa kigezo hicho cha undugu nikakwepa kuingia nao 6×6.
Ila nimeshatolewa nje na mdem kadhaa ambao nimewafata mwenyewe na ni wakali.- hii huwa haiumi kivile kwani unakuwa wala haujaanza kumega tunda.
Maumivu makali ni yule ambaye umeanza kummega na baada ya kuanza ukajikuta unamkubali kuliko kipindi unamfukuzia,, huyu akikuacha unachanganyikiwa- hii nayo imenitokea.

Sijui kama unaambulia lolote hapo juu
 
Kwanza sioneshagi u serious mwanzoni u serious unakuja baadae nikiona kuna ka go ahead..... ila nikikataliwa napiga moyo konde nasonga mbele.


Kama simuelewi kumkataa mwanamke huwa natumia busara sana ili asijione kama kajidhalilisha.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom