Wanawake au wanaume mliowahi kutongoza mlifanyaje mlipokataliwa?

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
526
1,000
Hahaha anaweza kukuanza vilevile badae ukifall na kumpenda sana anakufanya ATM pia .

Ila kiukweliii, when you are truly in love with a person hata mizinga mizinga ya ajabu humpigi .Ila sasa kule kwingine unapiga tu mizinga ili mradi muachane .
Likewise hata kwa wanaume pia ukipenda mtu hata Sex hatudemand sana lakini kwa madem wengine ambao hatujawapenda kila weekend ni MOTO
 

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
526
1,000
kuna manzi ni zaidi ya week mbili sasa namuhaingaikia......ananiringia sana aisee daaahhh.......
Life is too short usilielie sana kama amechomoa kias hcho Chill fanya inshu zako achana nae sio kila mwanamke atafaa kuwepo kwenye memory yako.
 

holy spirit

Senior Member
Nov 30, 2020
118
250
Kama ilivyo ada ni swala la kawaida kwa karne ya 21 watu kutongozana msela au mtoto mzuri anakufata na kukuambia anakupenda anahitaji kuwa muwe wapenzi, Pale ikitokea mtu ambae unamtaka muwe katika mapenzi kwa kua unampenda akakukataa huwa unafanyaje???

hqdefault.jpg
Mtongoze rafiki ake au mdogo wake Kama anae
 

Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,405
2,000
Sikumbuki kumkula dem aliyeniaproach kwani wengi wao walikuwa hawalipi isipokuwa wawili (wazuri) ambao tulikuwa na undugu kwa mbali kidogo - lakini kwa kigezo hicho cha undugu nikakwepa kuingia nao 6×6.
Ila nimeshatolewa nje na mdem kadhaa ambao nimewafata mwenyewe na ni wakali.- hii huwa haiumi kivile kwani unakuwa wala haujaanza kumega tunda.
Maumivu makali ni yule ambaye umeanza kummega na baada ya kuanza ukajikuta unamkubali kuliko kipindi unamfukuzia,, huyu akikuacha unachanganyikiwa- hii nayo imenitokea.

Sijui kama unaambulia lolote hapo juu
 

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
374
1,000
Kwanza sioneshagi u serious mwanzoni u serious unakuja baadae nikiona kuna ka go ahead..... ila nikikataliwa napiga moyo konde nasonga mbele.


Kama simuelewi kumkataa mwanamke huwa natumia busara sana ili asijione kama kajidhalilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom