Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,395
- 92,713
Kuna baadhi ya wasichana wengine ukiwa naye kwenye daladala yeye ana sh10,000, mwanaume ana sh2000, bado atataka mwanaume ndio alipe nauli.Sijui kosa ni kwanini umemtongoza!!, huwa sielewi.
Kuna wasichana akiwa na mwanaume anamgeuza mtaji, shida zake zote zitakwisha kwa huyo mwanaume, tena wakati mwingine kwa kulazimisha. Mizinga kwa kila kitu. ( kademu ka mizinga ).
Eeeh kama uko naye kuanzia chakula, maji, soda na kadhalika, yeye ni mtu wa kula tu, tena wengine wanaweza kukujia hadi na marafiki zake, akukomoe vizuri kwanini umekubali kumpenda. Anakuingiza gharama, wengine unakuta eti hawanywi vinywaji vya bei rahisi.
Haya ni maisha ya kipuuzi ambayo ni lazima watu waondokane nayo, maana ya mapenzi ni kusaidiana na kufanyiana mambo ambayo wewe ukifanyiwa utajihisi raha, sio kufanyiana mambo ya kukomoana. Kununuliwa kila kitu ni aibu, kuna wengine wanafanya kazi, lakini fedha zao ni zao na zile za wanaume wao nazo wanataka ziwe zao. Huu ni wizi wa waziwazi.
Kuna mwingine anajenga fikra kabisa kwamba baada ya ku do utampatia pesa! hivi huwa najiuliza kwenye kale kamchezo ka baba na mama mwanamke si ndio anasikia raha zaidi ya mwanaume? sasa unapotegemea mimi ndio nikupe pesa unaniuzia nini hapa?