Wanawake acheni kuwanyanyasa waume zenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake acheni kuwanyanyasa waume zenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 17, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
  Ndugu zanguni nimefutahi sana kuongelea hii mada kwa uchungu....kabla ya kuja ninapotaka kama kichwa cha habari hapo juu...yupo ndugu yangu mmoja alioa mwanamke mmoja tajiri wa dar...wapo wengi waliomshauri huyo mwanamke atamsumbua...loooohhh!!!!kama mnavyojua mapenzi kitovu cha uzembe....aikuchukua mwezi kijana aanze kupiga kelele...sasa nafikiri utoto akashindwa kujua procedure za matatizo ya ndoa akaamua kuongea kwa marafiki...mwanamke akiendeleza libeneke...kweli alikuwa ana hela sana na mpaka sasa......aikuchukua miezi mitatu ile ndoa ikavunjika na kukaribia kuingia guiness book ...yule kaka mpaka leo nikimwona anantia imani ...........
  Ndugu mpendwa yawezekana mkeo ana pesa nyingi yawezekana una miaka mitano huna amani sababu ya vituko vyake.,kweli unampenda na huna la kufanya kwa maana labda mna watoto watatu....na mengineyo.leo hii napenda kukwambia lipo jibu la ndoa yako....
  Mwanaume siku zote yeye ni kichwa cha nyumba kichwa cha familia..hakuna sehemu hata kwenye maandiko wameandika mwaname akikosa pesa mwanamke aanakuwa kichwa...sasa basi kwa msaada tu ujachelewa ...anza sasa usikubali mkeo anafanya ujinga unakaa kmya kufikiria pesa zake ama watoto wako....mwite mkeo mkalishe mwambie unajua sasa nimechoka mimi na wewe hu is CAPTAIN INCHAGRE??
  atakachojibu kifanyie kazi kuanzia siku hiyo hiyo akijibu wewe.....piga makofi ....mtajie makosa yote kama kurudi usiku...na mengineyo...wanwake muache kuwanyanyasa wenzenu kisa vipato ama jeuri za pesa....tuwe na mapenzi ya kweli
  Tunawatakia ndoa njema
   
 2. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani siyo siri wapo akina dada wao utadhani wameshushwa duniani kupoteza amani za wanaume. Pamoja na wanaume wanamatatizo yao, lakini inapofikia mke yeye ni kuendeleza ugonvi kila kukicha kwa kweli hii siyo staha ni karaha.

  Nimeshuhudia ndoa nyingi zilizoingiwa mpasuko, 10% zimenusurika na kurudia hali ya uelewano, another 10% wametengana, ila 80% wapo pamoja lakini hiyo songombingo ndani ya nyumba ni hatari tupu. Ugumu wa suruhisho ni akina wake.
  Wamekataa kutafuta suruhu, na imekuwa kama zimwi likujualo halikuli likakwisha. Kwa kweli nawapa pole hao waliopo kwenye mahusiano ya hali hii. Wanaoumia zaidi ni watoto.

  Nyumba ni mahala ambapo
  -baba anahitaji apate pumziko baada ya harakati za siku nzima,
  -baba ajisikie anapa-miss pindi awapo nje ya nyumba.
  -ni mahala pakusanyiko la familia, pawe patulivu na upendo.

  Ushauri wa buree kwa wanawake na akina dada, wababa wanahitaji kupendwa, na kubembelezwa. Wapeni raha badala ya karaha.

  Nawatakia mdumishe upendo wa AGAPE daima milele.

   
 3. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wakina dada/mama wa Dar wakitoka makazini break bar wanapata za bariiiiiiiiiiiidi za kutosha akiridhika ananunua kuku or samaki,chips..... ndo chakula cha usiku.duh noma....
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  sisi akina mama hatuhitaji hayo?....tujaliane/tupendane/kusaidiana pamoja.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280

  mtu huyo huyo akirudi nyumbani akikukuta unalishwa na hgirl kelele.....sasa nani amlishe jaamani kama wahusika mko busy na pesa zenu...???wanaume tunaitaji upendo na tukikosa tutatafuta popote na kwa garama yoyote bila kujali fungu lenu.....takecare lakini
   
 6. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Ukiyatimiza hayo utapata pumziko la milele kwa mumeo, hebu jaribu halafu utupe feedback
   
Loading...