Wanawake acheni kuwa"chaja ya kobe"

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,049
Nini maana ya chaja ya kobe...kwa wale waishio bongo watajua naongelea ile chaja iko kama kobe ambayo huwa aijalishi ni aina gani ya betri inaingia...yenyewe ukiseti iwe simu ya nokia,motorola,gwanzui,shangswang.yenyewe inachaji
ndugu wapendwa ni kweli dunia imearibika ila kwa kweli ni vyema madada nao wakaanza kujiheshimu...zamani nakumbuka ukimtongoza mwanamke mpaka akukubali unawezakwenda mpaka hata miezi mitano...
lakini leo hii ni dk 30,...na lile tendo la ndoa lilichokua mwaka kipindi kile leo hii ni dk 5...kweli nahisi mabadiliko ya kiuchumi....ni vyema tukajiona ni wa thamani hata kama ni shida jamani tusikubali kila mwanaume anatucheze kama chaja ya kobe yaa ni kila mtu anakuja kupimia uume wake kwako....
ni vyema tukawaza mara mbili wapi tunaelekea...yawezekaana ni hamu,matatizo je tunashindwa kustahimili kweli?????
Kaama umekuwa na mawimbi haya na kufikia kuitwa chaja ya kobe bado ipo nafasi tafuta mwenza wako....usikubali kila mmoja anakuja kupimia size yake kwako.....zingine hazipimiki....utapasua chaja yako na kushindwa hata kuchaji betri zingine...unaonaje ukaanza leo kubadilika
haya sasa
ahsante kwa kukabadilika
 
Whats the point here brother, naona stori za kobe kibao na back to the future theories tu!! Whats up?
 
kujiachia ovyo kwa wanaume mkuu dat a point wabadilike
 
Back
Top Bottom