Wanawake 98% uzuri wao ni wa dukani

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Tembea mkoa wowote, wanawake 98% utakaokutana nao wana uzuri wa dukani, aidha wana kasoro kwenye nywele au kichwa kibaya (chogo na komwe), hivyo huvaa mawigi (weaving) ili kujinusuru na aibu kutoka kwa watazamaji.

Pia, wengi wana mikunjo, na wanaogopa mno mikunjo yao hasa usoni kuonekana, hivyo ukikaa nao utagundua hata kucheka, huwa kinywa hawakiinui 360 deg, wengi huishia 120deg(wanacheka kwa kujifosi kubana mdomo kwa mbali), pindi wanapoongea na wakulungwa.

Makunyanzi, hili linajulikana, wanawake wengi hutumia hata mamilioni kununua losheni ili kupunguza au kuondoa kabisa makunyanzi achilia mbali mikunjo.

Ukikutana na mwanamke amekomaa sura au ana kichwa 'kisichovutia' usimhukumu, mpongeze kwa kuwa real, angetaka kutumia hela huenda angekuwa ni zaidi hata ya J. Wolper au Wema.

Mwisho, kila mkoa au sehemu utakayoenda, 98% sura halisi za mademu ni mbovu. Ila kwa wanaume 98% ukikutana nao basi huwa ni real.

Daaah! Aisee hali hairidhishi tuvumiliane tu, hakuna mkamilifu. Tufichiane aibu zetu tu maisha yaende.. Mamaeeee
 
Back
Top Bottom